Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

* Blaise Campaore played a key part to kill Nyerere's Idealistic revutionalist Thomas Sankara. Blaise Campaore is gready for power now is AU peace Council is this a joke? * Jacob Zuma said he...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
RC ARUSHA agoma kusitisha huduma ya Loliondo, asema - hajapata barua yoyote kutoka wizarani - kwa hali ya sasa na wingi wa watu ni vigumu kusitisha huduma hiyo SOURCE : mwananchi update...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tuache unafiki na ubishi wa kujifurahisha nafsi wa funika kombe mwanaharamu apite. Ukweli ni kwamba bara la Africa limevamiwa na wageni wengi kutoka nje. wengi wa wageni hao ni Wazungu,wahindi...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Wanasiasa na sisi tunaojiita wasomi tumekuwa tunaongea sana . lakini tunashindwa kuonyesha mifano japo mara moja au masaa machache kwa wiki. Ni mwanasiasa , kiongozi u msomi gani yuko tayari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama mwakyembe aliweza kuvaa magwanda na kusimamia ukweli na haki kwenye ile tume hawezi kushindwa hili. Sitta naye Alijipatia sifa kem kem kwa bunge lake kwa msemo wa speed and standard. Sasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
THE government has reaffirmed its keenness to develop the Kiwira Coal Mine in Mbeya Region and talks with the two parties interested to inject 400 million US dollars to the project "are in top...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu 10 wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar baada ya kupigwa na askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa kambi ya Bavuai Migombani kufuatia mke wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani Tazameni TBC1 yupo live
0 Reactions
183 Replies
14K Views
Kwa mujibu wa Sensa ya Mwaka 2002, ramani hii inaonyesha vijiji/mitaa iliyosajiliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu. Sasa hapa ni kuwa strategic! Mmeanza vizuri na target areas za Kanda ya Ziwa...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Kwa muda sasa mara baada tu ya uchaguzi, cdm imeingia katika mkakati kamambe wa kuwadaisha wananchi haki zao za msingi (zinajulikana) na kuichachafya ccm hadi kufikia hatua ya kuitwa wahaini. Ni...
0 Reactions
0 Replies
971 Views
katika uchaguzi wa 2005, Waislam walikuwa 3 (Kikwete, Salim na Kigoda) na Wakristo zaidi ya 10 walijitokeza kugombea Urais kwa tiketi ya CCM. Kati ya hao waislam 2 ( Kikwete na Salim) na Mkristo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima na amani kwenu ndugu zangu wana-JF, Kwanza nitoe heshima zangu za pekee kwa watu wa rika lililosogea na wazee ndani ya JF ambao wamekuwa wakitufungua macho yetu vijana wengi katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa muda sasa mara baada tu ya uchaguzi, cdm imeingia katika mkakati kamambe wa kuwadaisha wananchi haki zao za msingi (zinajulikana) na kuichachafya ccm hadi kufikia hatua ya kuitwa wahaini. Ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar es Salaam - African Intel. So far, only Prime Minister Mizengo Pinda has publicly disclosed his earnings and assets, but President Jakaya Kikwete has just inadvertently lifted the veil a...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ni maajabu basi hili litakuwa moja ya maajabu ya dunia.Hakuna aliyetegemea kuwa CDM kingeonekana mwiba mkali kwa serikali ya CCM katika kipindi cha muda mfupi kiasi hiki.Mikakati na mbinu za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bado naendelea kufikiri jambo lililomfanya mkuu wa nchi kutangaza kuwa anataka kuondolewa madarakani kwa nguvu. Si jambo la kumwingia mtu akilini kwa Rais kusema jambo zito kama hilo la...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Viongozi wetu wanagombea ili kujaza matumbo yao ndio maana wakiingia huwa hawawakumbuki tena waliowaweka madarakani.. na hiyo ndo hali halisi ya viongozi wetu.. ofisi za umma wanazigeuza mahala pa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Wakereketwa na Wananchi wenzangu, ni takribani miaka 5 imepita tangu tulipoahidiwa maisha Bora kwa kila Mtanzania ambayo hatuyaoni hadi sasa, na kibaya zaidi hata yule mwanazuoni aliyetunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, haya ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania ambayo Rais Jakaya Kikwete alituahidi? IMF na wataalamu wengine wamesema kuwa tatizo kubwa la kuporomoka uchumi ni kutokana na ukame unaosababisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom