Hivi tunataka mtu wa namna gani?

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
Waziri mkuu Mizengo Pinda juzi binafsi amenichefua akili yangu sana, kwanini ameshindwa kutofautisha siasa na utendaji? Eti anampiga stop Dr. Magufuli juu ya upanuzi wa barabara zetu na kuuita mpango huo kuwa ni bomoa bomoa ya magufuli, hivi magufuli anabomoa kwa niaba yake au anatekeleza majukumu tuliyompa? Hebu atueleze yeye anataka kila anakoenda watu wamuone mwema ili iweje? A man has what i can call crocodile tears.
 
Back
Top Bottom