Hivi ni kweli huwezi kuwa rais wa tanzania mpaka ukubalike kwa waisilamu ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli huwezi kuwa rais wa tanzania mpaka ukubalike kwa waisilamu ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pepombili, Mar 9, 2011.

 1. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unaamini ya kwamba Historia inajirejea ? Nikweli kuwa Kura za Waislamu zinamchango mkubwa kumuweka Raisi yeyote madarakani hapa Tanzania. Hili lilianza tangu wakati wa Mwalimu Nyerere. Muulizie mchango wa Bibi Titi Binti Muhammad, Sheikh Hassan Bin Amir, Mshume Kiyate,Haidari Mwinyimvua,Tewa Said Tewa, Sulleiman Tajadiri n.k. Hawa niliowataja walikuwa ni wazee na Masheikh waliokuwa na ushawishi mkubwa kwenye jamii ya Waislamu wakati huo ambao ki-idadi walikuwa ni WENGI tena wasio na chakupotezakwenye Serikali ya mkoloni.

  Baada ya vyama vingi..tena hasa huu uchaguzi wa mwaka 2010..wengi humu mmekiri kama JK kabebwa na Waislamu. Infact wao ndio walikuwa na pivotal na decision making role. Baada ya kuona Watani wao wameshapewa maelekezo ya kumpa Padrea ambapop walifanya. Waislamu pamoja na jamaa zao Wakristo wasio na ubaguzi huo wa Kidini, wakiongozwa na Wakristo Maslah wakamchagua JK kwa kishindo.

  Hivi sasa Waislamu wanapima upepo tena baada ya CDM kujionyesha kwa ngozi yao ya dhahiri...wamuunge mkono mgombea yupi kwenye uchaguzi wa 2015.
   
 2. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  ur content lacks substance
   
 3. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kikwete aliujua mchezo mapema,akateua waislamu wenzetu,idara nyeti zote,Tiss,Police,Nec,ilh wamsaidie kuiba kura,KIKWETE HAKUSHINDA ALIIBA KURA,
   
 4. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi!
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  akili ndogo hizi.
   
 6. T

  Technology JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 733
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  ujinga mtupu..... kajipange tena
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Shukrani!!!!!!!!
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280

  Kama una ushahidi wa hayo, kwa nini usimpelekee Silaa? maana aliahidi atatowa ushahidi wa kuibwa kura lakini mpaka leo hatujauona. Si umsaidie?
   
 9. IFM

  IFM Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani tafuteni vitu vya kuja kuweka huku JF na sio upuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi kama huuuuuu. umekurupuka bwana mdogo kajipange upya.
   
 10. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Pamoja na upuuuuuzi wako nimeipenda hii
   
 11. T

  TUWEKANE BAYANA Member

  #11
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na ukubalike kwa wakristo pia.. Nchi yetu ni makaroni nyama kusaga.. Bila wakristo kukupa kura hutoshinda, na bila waislam kukupa kura pia hutoshinda.. Wote wanamiliki pasenti kubwa tuu ambayo ukiikosa basi utakuwa hujafikia asilimia inayotakiwa..
   
 12. e

  emalau JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  This is the forum for great thinkers, you don't sound like one !!
   
 13. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,757
  Likes Received: 6,048
  Trophy Points: 280
  This is among the stupidiest thinking of the year. Kwa nini mnazungumzia uislam hata pasipostahili. Bila neno Uislamu kuzungumzwa kwa baadhi yetu mada huwa hainogi? Kwa taarifa yako, kura za waislamu zina mchango mkubwa sana kwa chaguzi za Tanzania sawa sawa na zilivyo za makundi mengine katika jamii; za waislamu si bora kuliko za wengine ila zina value sawa.
   
 14. m

  matunge JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Na kwa nini usikubaliwe na dini zote? tunataka rais anayekubalika na dini zote, makundi yote ya jamii, n.k ...................huna hoja!!! zaidi ya elements za kidini..........MUNGU wa kweli wala hana ubaguzi wa kibinadamu kama huu
   
 15. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kashakula tende huyo zinamlewesha sasa,..jamani humu jamvini mtu yoyote mwenye access na internet anaingia tu,..sijui kiwemo kiingilio?au yawepo maswali ya kigreat thinking kabla ya kuregister?nashindwa kuelewa lakini labda ndio uhuru wa kujieleza,..tujaribu kupost vitu constructive
   
 16. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,757
  Likes Received: 6,048
  Trophy Points: 280
  Mods, there is (in fact there should be) a means of scanning messages to detect some keywords of your choice. Please, scan and throw away any messages containing words like "waislamu", "uislamu", "dini", "wakristo", "mkristo", "mwislamu", or similar ones from reaching the server if posted to "Jukwaa la Siasa" or any other jukwaa where religious identity isn't required.

  Please, do the needful.
   
 17. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haihitaji fedha za kigeni kujua hilo,watz wote wanajua hilo.kwa kuficha hilo wizara nyeti zote waislam,idara nyeti zote waislam.WATANZANIA NI UWOGA TU,Kwa alichofanya mkwere tungekuwa Somalia...........
   
 18. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #18
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  Good advice but there are still many words that describe those groups, if someone is interested to say anything regarding certain group he will use any words. The best way to gnore these kind of posts is not to respond to it! something that many people can not.
   
 19. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,757
  Likes Received: 6,048
  Trophy Points: 280
  I agree with you Waberoya but I better hear/see those other words rather than the ones I have mentioned which are now boring to see in this forum (I mean JF).
   
Loading...