Mabaki ya Mabomi ya Gongo la Mboto mpaka leo!

fadeless

Member
Mar 8, 2011
22
1
Leo nilikuwa nasikiliza radio nikasikia msaidizi wa mkuu wa wilaya akisema kuwa wameunda timu ya vijana kufuatilia mabaki ya mabomu,halafu akasisitiza kuwa ana taarifa ya mabomu mawili kule kimara,sasa kama anafahamu kwa nini wasiende kuyachukua? Just imagine bomu lipo nyumbani kwako kwa miezi miwili! Huku si kuchezea maisha ya Watanzania? Kweli serikali yetu imetuchoka,wadau tujiulize nini cha kufanya ili wawe serious!

Naomba kuwasilisha!
 
Back
Top Bottom