TANZANIA NI NCHI PEKEE HIYO NA RAIS/kiongozi kikwete katuchoka katelekeza nchi

mmzalendo

Senior Member
Nov 1, 2010
165
1
baada ya uchunguzi nilifanya kwa muda mrefu
nimegundua tanzania ni nchi pekee ambayo haina raisi/kiongozi
mawaziri wamekuwa wanazozana kama watoto wanaofuatana katika
familia
jk sasa anakura pension yake anampango na nchi tena na waziri
wetu mkuu ndiyo msaani kuliku wakina masanja mkandamizaji kwa mfano leo
anakwenda ngara na kujifanya anashanga'a umesikini walio nao huko ngara
kuna nafuu gani kwenye jimbo lake huko sumba wanga au anatufanya sisi wajinga
miaka mitano hii itakuwa ya malumbana maana kila mtu anajianda kwenda ikulu
kutumbua mabaki ya jk na rafiki zake watakao kuwa wanatoka
jk umetumaliza kama Gobashov
wa russia

source www.lifeofmshaba.com
 
Back
Top Bottom