Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu uchaguzi uishe mwaka jana tumeshuhudia Chadema ikifanya harakati nyingi zilizoleta misukosuko na hata roho za baadhi ya ndugu zetu kupotea huko arusha, migomo Bungeni, kushinikiza maandamano...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi vijana wa CCM wameamua kuwa wakweli na kuwambia TISS kuwa wanavuruga nchi. Mzee mwanakijiji anaweza kuwa na taarifa za kutuambia hapa maana anawajua TISS vizuri
0 Reactions
116 Replies
11K Views
Hebu soma kipisi hiki cha habari wakati rais akitembelea wizara ya uchukuzi: (IPPMEDIA 23 machi 2011) "Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), Israel...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa wanajamii, mwaka jana nilionda BAshe akivuliwa ushindi wa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM kisa si mtanzania, Je leo imekuwaje CCM inampa kazi mtu asiye raia kuratibu uhai wa chama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia ziara za Rais wangu Mhe. Jakaya Kikwete katika wizara mbalimbali. Kwa dhati nampongeza kwa kufanya ziara hizo kwa kuwa si kuwa zinawakumbusha wajibu wao watendaji wa wizara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna hii msge huwa naipata sometimes ninapofungua some of the threads. Sasa sijui kuna thread nyingine ni kwa baadhi ya members tu au!! Sijui kama hili ni tatizo langu peke yake. Najua hii issue...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SHERIA ya urai haitambui urai wa nchi mbili na raia wa Tanzania anayestahili kuwa na kitambuklisho cha urai anatakiwa awe na sifa zifuatazo: a) Aliyezaliwa katika nchi ya Tanzania wazazi wake...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Rais Jakaya Kikwete, jana alimweka katika wakati mgumu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma), Hawa Ghasia, baada ya kukatisha mara kwa mara hotuba yake akitaka maelezo ya...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
ha ha ha ha ha, teh teh teh teh , twi twi twih twih, ama kweli inachekesha. uvccm wameunda kamati maalumu ya kusaidia kuleta mabadiliko ccm, na kamati hiyo inaongozwa na hussein bashe, ambaye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
This blog is operated by THE DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA. It seeks to promote presidential activities, in an interactive manner from all...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Utendaji na kauli za mawaziri wa Jk unatia mashaka. Kitendo cha waziri mmoja kuwashambulia wahadhiri wa vyuo vikuu kinazua mashaka kwa kuwa nielewavyo mm lazima mhadhiri awe objective...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Taasisi gani ni sehemu ya ukandamizaji raia Tanzania wa CCM.Tuanomba files ili tuwe tunaangalia kwa makini matamko ya vioongozi wao.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
chama cha demokrasia na maendeleo pamoja na baadhi ya vyombo vya habari vinalaumiwa kupotosha taharifa ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa mh Benard Membe Taharifa kamili...
0 Reactions
125 Replies
11K Views
Ziara anazofanya JK katika wizara za serikali ni dalili ya kutojiamini kwa PM wake, kama angekuwa na msisimamo thabiti Waziri Mkuu Pinda angeweza kuwaita mawaziri ofisini kwake na kuwapa maelekezo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa jf, Mimi huwa ninafuatilia sana uelewa watu kuhusu mambo ya msingi ya nchi hii. Kila mara kunapokuwa na mambo muhimu kwenye media asubuhi kwenye vituo vya magazeti, ktk daladala...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
How Kikwete saved the day for Chadema Send to a friend Sunday, 20 March 2011 19:36 digg President Kikwete shakes hands with Mr Kabwe at past fuction By Tom Mosoba and Florence Mugarula Dar es...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF Mimi najiuliza kama kuna mtu mwenye akili timamu na mzalendo wa kweli anayeweza kuendelea kuitetea ccm hii ya leo. Inahitaji roho ya kiwendawazimu kuendelea kuitetea ccm au kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi zile siku tisa za chadema walizompa jk zinaisha lini?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Taarifa ya habari ya jana tbc, JK akiongea alipotembelea wizara ya uchukuzi na kuzungumzia utendaji mbovu wa wa TAZARA, amesikika akilaumu jinsi menejiment zinavyochaguliwa alisema "badala ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
DHANA ya maendeleo kwa wananchi ni moja, kwa maana kuwa maendeleo yanayopiganiwa na serikali kwa wananchi wake kupitia chama tawala, CCM ni sawasawa na maendeleo yanayopiganiwa na vyama vya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…