Nina mashaka na mawazir anaowateua JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina mashaka na mawazir anaowateua JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mndeme, Mar 24, 2011.

 1. m

  mndeme JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Utendaji na kauli za mawaziri wa Jk unatia mashaka.

  Kitendo cha waziri mmoja kuwashambulia wahadhiri wa vyuo vikuu kinazua mashaka kwa kuwa nielewavyo mm lazima mhadhiri awe objective kuzungumzia mambo yanaloligusa taifa. waziri huyo hataki hilo lifanyike anataka wanafunz wasome madesa tu bila kujua hali ya nchi na mustakabali wa nchi yao.

  Kwa nchi inayoheshimu na kujali elimu huwez kuona mwanasiasa uchwara anawashukia wahadhir ambao kimsingi wakitumika vizur nchi itakua na mabadiliko.

  Hata hivyo kwa tz ni tofauti kwa kuwa wasomi hawa hawaheshimiki na inafikia hatua ya kuandamwa na wanasiasa na hata wengine kuingia kwenye siasa na kuacha kazi ya uhadhiri.

  Huu ni mfano mmoja tu wa kauli za mawazir alionao JK...........achana na akina Sophia Simba ambao mara nyingi huwa wanatia mashaka juu ya credibility yao ku-handle uwazir
   
Loading...