CHADEMA na siku tisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA na siku tisa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MkamaP, Mar 23, 2011.

 1. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Hivi zile siku tisa za chadema walizompa jk zinaisha lini?
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  wewe mwezetu haupo dunia hii labda upo ahera, aliambiwa atoke hadharani ajibu hoja na amefanya hivyo, bei ya sukari imeshushwa, bomoa bomoa imesitishwa, wastaafu wa jumuiya ya Africa Mashariki ameagiza walipwe mafao yao. sasa wewe unataka nini? wakati sasa hivi Kikwete amekubali kimsingi kufanya kazi kwa kufuata maelekezo ya CHADEMA, sasa wewe hapo kinakuuma nini?
   
 3. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Duuu, sasa maandamano mengine ya nini kama serikali imetekeleza matakwa ya chadema? ni uchokozi basi
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Maandamano lazima yaendelee ili tuweze kutoa madai mengine ambayo yanahitaji utekelezaji Tz. Bila hivyo Kikwete atatulia tu Ikulu bila kuwajibika
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Hii ya safari hii amepewa siku 21 na CHADEMA iwe iepatikana solution ya meya Arusha, sasa ukitaka kuamini kama Kikwete amekubali kufanya kazi kwa maelekezo ya CHADEMA wewe tulia usiwe na pupa utaona anavyotekeleza maagizo haya.
  huyu ni wetu sasa hivi ebu muone hapa akifanya mazoezi kabla hajajiunga rasmi.

  164713_186021948088433_100000418869866_584556_5893087_n.jpg
   
 6. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Majibu marahisi kama kawaida yetu..
   
 7. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Maandamano ya nini kama mnaweza mwambia tu akatekeleza? nafikiri kama ametekeleza maadai ya maandamano ya kanda ya ziwa, sioni sababu ya mengine. Hii ndo nguvu ya umma ?
   
 8. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Babu wa Loliondo, kawaokowa... (media mindset) Muulizeni Kikwete alikuwa hapati usingizi. Oh! Matatizo siwezi kuyamaliza mara alianza nyerere, mwny na mkapa, MBONA SUKARI IMESHUKA? wange acha waone!
   
 9. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Kwani babu amefanya nini kuhusiana na siku 9?
   
 10. Unyanga

  Unyanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nimeiipenda sana hii mkuu, kwa sababu hata mimi hili la majibu mepesi linanikera sana!
   
 11. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Wataenda mbeya kumpongeza Kikwete kwa kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania...usiumize kichwa na hawa jamaa mkuu, ni kundi la losers wasio na akili.
   
 12. mundo

  mundo JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Hiyo Avatar yako nimeipenda
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Asante kwa matusi yako, ila kati ya sisi na huyu Kikwete nani hana akili?
  167541_1390032369824_1802575517_750317_699599_n.jpg
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Kwani si ameshatekeleza maagizo? Unachotaka zaidi ni nini? nafirahi kwani ametii amri halali ya amirijeshi mkuu wa ukweli slaa!
   
 15. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kikwete ndiye ametuchokoza kwa kutudanganya na maisha bora kwa kila Mtanzania
   
 16. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nina wasi wasi na hilo la wasio na akili kuwa wewe ni kiranja wao
   
 17. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Hiyo ilikuwa kauli mbiu, yani kibwagizo
   
 18. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kauli ameishatoa lakini kuna badhi hajafanyia kazi. Dowans, mafisadi papa na wengine bado. Kufeli kwa F IV, Kilimo kwanza, Miundombinu kuboreshwa, n.k. matatizo ya watanzania yakiisha, na maandamano yatakoma.
   
 19. S

  Salimia JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Siku tisa?hapakuwa na lolote maneno na blah blah za wachonga ngega tu. Matatizo hayeshi kwa siku hizo.
   
 20. S

  Songasonga Senior Member

  #20
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna siku Nilisema chama Kama Hakina itikadi na mpangilio Wa kufanya kazi kitaendelea kukumbusha wenzao tu nini wafanye nacho kitabaki kuwa chama kukumbusha na si cha kuongoza, kwani unapotaja kero bila upembuzi na ufumbuzi yakinifu mwenzio anaifanyia kazi inanity wewe uje na ingine. Siku zote mtekerezaji ndio anayekumbukwa
   
Loading...