UVCCM: Usalama wa taifa haumsaidii rais, unavuruga nchi kwa maslahi yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UVCCM: Usalama wa taifa haumsaidii rais, unavuruga nchi kwa maslahi yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, Mar 21, 2011.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wanajamvi vijana wa CCM wameamua kuwa wakweli na kuwambia TISS kuwa wanavuruga nchi. Mzee mwanakijiji anaweza kuwa na taarifa za kutuambia hapa maana anawajua TISS vizuri
   
 2. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Wakati TISS walipoingiza kontena la kura kule Tunduma mbaona UVCCM hawakuona wanavuruga nchi?
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Mbona Mkapa hawakuwahi kusema usalama wa Taifa haumsaidii? huyu Mkwere ni janga la Taifa, anachotaka kusikia yeye ni mambo matam matam, mfano umwambie kwamba foleni kubwa kwenye barabara za jijini Dar ni dalili za maisha bora hapo ndio atafurahi, hataki umwambie kwamba tatizo barabara ni chache na zile za mitaani hazipitiki ni mbovu na miundombinu ni mibovu, ukimueleza hayo wewe unavunja amani na utulivu.
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Dot Connector,

  Mkuu kwa hili niko pamoja na UVCCM.Ukiisikiliza hotuba ya Kikwete mwisho wa mwezi uliopita utagundua kweli TISS wanampatia taarifa za kumwangamiza kabisa badla ya kumsaidia kumjenga.Ipo tafauti kubwa baina ya Kikwete kipindi kile akiishambulia picha ya mapanki [Sangara] au wakati akifungua bunge mwaka 2005 na hotuba alizozitoa baadaye anaonekana akilalamika kama mwananchi wa kawaida asiye na mamlaka yoyote.Kitendo cha kulaani maandamano ya CHADEMA kkiliitimisha hisia zangu Kikwete nchi imeshamshinda siku nyingi.
   
 5. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 12,035
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu umekuwa specific kwa MKJJ ngoja ni reserve comment yangu kwanza.
   
 6. f

  fidodido Member

  #6
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  wana JF, mi nafikiri tujitahidi kutumia lugha nzuri tunapomkosoa Mhe. Rais, tabia ya kupenda kumuita mkwere ni dalili ya ukabila, kwa sababu kama anakosea katika kutimiza majukumu yake au kama ana udhaifu ni wake binafsi si kwa sababu ya kabila lake. mimi si mkwere lakini sisi vijana tukendelea na tabia ya kumsema mtu kabila lake akikosea, tunaweka mazingira mabaya ambayo mtu atakuwa anachaguliwa kwa kabila lake
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hahahaha..hizi ni taarifa zilizofanyiwa utafiti na Dr Wilbroad Slaa. Huyu Dr wa ukweli namkubali sana huwa ana data za ukweli sana, aliwahi pia kutufahamisha kifo cha RC flani hivi baada kufanya utafiti.
   
 8. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 12,035
  Trophy Points: 280
  Kwani yeye kabila gani kama si mkwere, mimi ni msukuma najiona fahari ukiniita hivyo.
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Ukisia ushamba ndio huu, JK original alikuwa anaitwa mchonga, kuna sehemu inaitwa kibaha kwa mfipa, mifano ya namna hiyo iko mingi nadhani wenzangu wataongezea orodha hapa, ninachokiona hapa kwako ni zile posho za lunch mlizopewa pale Dodoma za sh 50,000 kila mjumbe ndio bado zinakulevya. otherwise una point tambaa.
   
 10. N

  Nanu JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lakini hawa vijana wanataka TISS ndiyo wawe wanasema kwenye media? Je wanataka TISS iwaambie inamsaidia vipi rais?
  Je kuna chochote kinachofichika ambayo JK hayup?
  Je gharama za maisha hazijapanda sana?
  Je vipato vy Mtanazania havijashuka?
  Je ufisadi haujakithiri?
  Miundo mbinu, je? Inafanyiwa kazi?
  Nchi haipo gizani?
  Wale wanaotusaidia budget wameona kuna tatizo na ndiyo maana hawajatoa fedha.
  Hata budget ya mwaka 2011/12 inabidi iwe ndogo na yenye kutegemea mapato ya ndani kwa zaidi ya 80% ili angalau tuonyeshe ukweli katika kupanga kwetu na mapato yetu.
  Vijana inabidi wajue majukumu yao na siyo kumharibia JK, wao wanadhani wanawaharibia EL na Sumaye, lakini wanamharibia rais zaidi ya CCM yao wanaichimbia kaburi zaidi.
  Hawa watoto inabidi saa nyingine wakemewe, waache longolongo na kucheza na media, maana media itawamaliza mara moja!!!!!
   
 11. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nick name yanayokubalika na jamii mara nyingi hubandikwa watu kulinga na hali, jinsi au mambo wanayoyafanya na kwa kweli huya yanakaa vizuri kuliko hata majina yao. Kwa hiyo Mkwere siyo jina baya na kwa kweli linamkaa vema. Kuhusu kulalama kwa UVCCM, Matatizo ya CCM yapo kila idara sasa hivi. Kuanzaia shina hadi taifa na watawalalamikia wengi muno kwa sababu si watu wa kutatua matatizo. Walianza na CDM, Makanisa, sasa TISS. Sasa TISS si ndo wanoongoza nyingi au wamewatenga na kumwajiri sheikh Yahya. Kama ndo hivyo, basi wameshapotea njia. Kila la kheri CMM kwani uswahiba, ufisadi, rushwa na Uvivu ndo vinakuuwa.
   
 12. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  tupe ulichonacho,mwakiji kalala bado
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  Saigon, yoote sema lakini nimependa avtar yako!!!
  Ha ha ha !
  Ina maelezo mengi kuliko maneno!!
  Ha ha ha!
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  anabeba box
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kama kila jambo la kisiasa lingekuwa linatupiwa dhidi ya taasisi za kijasusi naamini hakuna taasisi ya kijasusi ambayo ingesimama duniani kote ikiwemo CIA, MOSAD na KGB
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  kumbe anabeba box! hongera mwanakijiji kwa kutumia jasho lako kujipatia riziki yako, na sio kuiba pesa za wananchi na raslimali za Taifa. bravo.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni upungufu wa weredi kama tutaendelea kufikiri kwamba kila jambo zuri au baya nchini limefanywa na majasusi na si vyombo vingine pia. Kwa maana kwamba kama TISS watalaumiwa kwa kila jambo baya linalotokea nchini basi pia wapewe sifa kwa mambo yote mazuri yanayotokea nchini. Ni muhimu tukajifunza mipaka ya uwajibikaji katika mifumo wa kisiasa na kiutendaji ili kutenda haki kwa kila chombo ndani ya mfumo wa serikali.
   
 18. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Atakuwa ni muumini mzuri wa sera za mzee Mkulo huyo.
   
 19. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,807
  Likes Received: 2,752
  Trophy Points: 280
  Kikwete ni Mkwere hilo halina upinzani na wala si tusi. Linaonesha tu kuwa mwandishi amemdharau mlengwa na anataka wasomaji wafahamu hivyo. JK ataitwa majina mengi hapa jamvini na kungineko lakini atabakia kuwa raisi wa JMT kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na NEC. Kama alivyo binadamu mwingine yeyote, JK anastahili heshima. Kwa bahati mbaya sana wananchi walio wengi wanaamini kuwa amefanya mengi yanayomfanya adharaulike kama kiongozi.

  Hakuana anayeweza kumzuia yeyote asimuite JK Mkwere. wacha watu waonyeshe hisia zao. Yaani, isijali kana kwamba wewe ni mkwere/hata kama wewe ni mkwere. It is alright.
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280

  Wewe ni mshamba tu, kaa pembeni wacha watu wenye hoja za maana tubadilishane mawazo ya maana, sio lazima watu wote muwe na msimamo mmoja lakini watu wa kariba yako ni kichefuchefu tu. tupa kule.
   
Loading...