Hivi Topic nyingine ni kwa baadhi ya members tu?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Topic nyingine ni kwa baadhi ya members tu??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Zero, Mar 24, 2011.

 1. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Kuna hii msge huwa naipata sometimes ninapofungua some of the threads. Sasa sijui kuna thread nyingine ni kwa baadhi ya members tu au!! Sijui kama hili ni tatizo langu peke yake. Najua hii issue si ya kisiasa ila tuvumiliane!!

   
Loading...