Sifa za kupata Kitambulisho cha Uraia 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sifa za kupata Kitambulisho cha Uraia 2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BABA JUICE, Mar 24, 2011.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [FONT=&quot]SHERIA ya urai haitambui urai wa nchi mbili na raia wa Tanzania anayestahili kuwa na kitambuklisho cha urai anatakiwa awe na sifa zifuatazo:[/FONT]
  [FONT=&quot]a) [/FONT][FONT=&quot]Aliyezaliwa katika nchi ya Tanzania wazazi wake wote wawili wakiwa Watanzania.[/FONT]
  [FONT=&quot]b) [/FONT][FONT=&quot]Aliyezaliwa Tanzania mzazi wake mmoja akiwa Mtanzania na asiwe na uraia wa nchi nyingine yeyote.[/FONT]
  [FONT=&quot]c) [/FONT][FONT=&quot]Aliyezaliwa Nje ya Tanzania wazazi wake wote wakiwa Watanzania lakini akiwa hajaukana uraia wa Tanzania.[/FONT]
  [FONT=&quot]d) [/FONT][FONT=&quot]Aliyezaliwa nje ya Tanzania mzazi wake wa kiume akiwa mtanzania lakini akiwa hajaukana uraia wa Tanzania.[/FONT]
  [FONT=&quot]e) [/FONT][FONT=&quot]Aliyezaliwa Tanzania kwa miaka 20 na kuomba uraia wa Tanzania baada ya kuukana urai wa nchi atokayo.[/FONT]
   
Loading...