Pinda angeweza kufanya ziara wizarani, why Kikwete?

Mchekechoni

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
279
19
Ziara anazofanya JK katika wizara za serikali ni dalili ya kutojiamini kwa PM wake, kama angekuwa na msisimamo thabiti Waziri Mkuu Pinda angeweza kuwaita mawaziri ofisini kwake na kuwapa maelekezo stahili kwa lengo la kuboresha utendaji wao. Wake-up Pinda!
 
Hii ndio Jamii Forums the Home of Great thinkers.... JK asipotembelea wizara akamwachia Pinda utaskia JK kashindwa kuimudu kazi yake na sasa kila ki2 ni kwa Pinda. Akitembelea oooh hata Pinda angeweza kufanya kazi hii.
Siwaelewi kabisa watu jama duh!!
 
Ziara anazofanya JK katika wizara za serikali ni dalili ya kutojiamini kwa PM wake, kama angekuwa na msisimamo thabiti Waziri Mkuu Pinda angeweza kuwaita mawaziri ofisini kwake na kuwapa maelekezo stahili kwa lengo la kuboresha utendaji wao. Wake-up Pinda!

JF.. The place where we dare to talk OPENLY
 
...viongozi wetu siku zote huwa hawana job description hivyo plan of work nayo pia haiwezi kwepo na matokeo yake shughuli zote ni kwa mtindo wa zima moto tu na maendele ziii!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwani kuna ubaya gani Rais akifanya ziara kwenye wizara ambazo yeye mwenyewe alizipanga na kuwachagua viongozi wake na kuwapa matarajo yake.
 
...viongozi wetu siku zote huwa hawana job description hivyo plan of work nayo pia haiwezi kwepo na matokeo yake shughuli zote ni kwa mtindo wa zima moto tu na maendele ziii!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Si Ha Sa ni 90% ndani ya Serikali

Utekelezaji ni 10% ndani ya serikali

Mwategemea nini?

Nchi haina MUSTAKABARI, Katiba ya nchi yeneywe ndio hiyo kweli hapo kuna lakuuliza kweli Katiba ya since 70's,80's,90's kwli itakidhi mahitaji ya wakati huu wa 21st C? kweli ???
 
Kwanza PM anaonekana ni mpole kiasi, acha JK amsaidie. Pamoja na makasheshe ya EL, alitakiwa PM awe kama huyo mstaafu,,,,
 
Back
Top Bottom