Kunahitajika roho ya Kiuwendawazimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kunahitajika roho ya Kiuwendawazimu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Mar 24, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF

  Mimi najiuliza kama kuna mtu mwenye akili timamu na mzalendo wa kweli anayeweza kuendelea kuitetea ccm hii ya leo. Inahitaji roho ya kiwendawazimu kuendelea kuitetea ccm au kuwa mwanachama wa ccm hii ya leo iliyopoteza muelekea.
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,088
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  wengi wanaoinga mkono ni shuleless!!!!!!!!!! wajanja tumeshawashtukia.
   
 3. N

  Ntandalilo Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamebaki wale wachache wa kizazi cha TANU kama utakuta kuna yeyote wa kizazi cha .com au Face book anashabikia CCM zama hizi beleive me huyo mtu hana ubongo, hasikii wala haoni!!!!...............
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  maslahi ya mifuko yao ndo inawafanya waendelee kuitetea iko siku kitaeleweka tu!
   
Loading...