Uvccm wamempa rostam aziz kazi ya kuleta mabadiliko ccm

MWANASHERIA

Member
Aug 20, 2010
84
11
ha ha ha ha ha, teh teh teh teh , twi twi twih twih, ama kweli inachekesha.

uvccm wameunda kamati maalumu ya kusaidia kuleta mabadiliko ccm, na kamati hiyo inaongozwa na hussein bashe, ambaye ni mkurugenzi wa habari corporation, kampuni la rostam aziz, na bado bashe alisema kwenye mkutano huo kwamba ana maslahi na rostam aziz kuwa ni boss wake. Lakini bado, bashe ndo kapewa uenyekiti.

hivi kumbe ni kweli, raisi wa tanzania na mwenyekiti wa ccm wa ukweli ni rostam aziz?

kweli ccm sasa haiponi kwa dawa yeyote, wameamua kunywa tindikali ili wapone. Ha ha ha ha ha
 
Jombaa..! RA is evrything in ccm and the gvnt. The fisadi is the president and chairman ov thithim. Since 2005
 
Wakwere wajinga nadhani hata mshenga wa presidaa anatafunwa na mshenga.Kajamaa km kahindi ukikaleta kazini basi wewe ndio mkuu kuliko bosi.****** naye kachuckua huu ustaarabu rostam alikaweka basi hakana ujanja
 
Kumbukeni Bashe aliandaliwa kushinda ubunge Nzega ili kumpoteza Seleli.
Bila shaka zile kelele za Makamba kumnyima jamaa huyo tiketi ya CCM ni kwa kuwa kazi ya kumwondoa Seleli ilishakamilika, kwa hiyo RA hakulazimisha Bashe agombee. I'm sure angetaka jamaa angegombea na Makamba angekaa kimyaaaa kama ilivyo siku za hapa karibuni.
 
Back
Top Bottom