KIKWETE: Badala ya kuchagua mameneja wazuri tunachagua makada

popiexo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
742
182
Taarifa ya habari ya jana tbc, JK akiongea alipotembelea wizara ya uchukuzi na kuzungumzia utendaji mbovu wa wa TAZARA, amesikika akilaumu jinsi menejiment zinavyochaguliwa alisema "badala ya kuchagua mameneja wazuri tunachagua makada"

Nadhani hili swala JK hajalifahamu jana lipo toka muda mrefu napengine amehusika kikamilifu katika kuwateua mameneja na wakurugenzi ambao ni makada. Labda sasa awe amefumbuka macho na kuamua kubadilika.
 
atafanyaje na hapo ndipo cdm wamewashikia kooni. By the way kachanganyikiwa km wenzie anaongea asichokijua kwa vile hana muda wa kufikiri the world is moving so fast
 
Anajifunika shuka kumekucha! Siku zote alikuwa wap kukemea tabia hyo? Hana lolote anajikosha.
 
Back
Top Bottom