Chadema inautaka urais au inalake jambo?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema inautaka urais au inalake jambo??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kadogoo, Mar 24, 2011.

 1. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tangu uchaguzi uishe mwaka jana tumeshuhudia Chadema ikifanya harakati nyingi zilizoleta misukosuko na hata roho za baadhi ya ndugu zetu kupotea huko arusha, migomo Bungeni, kushinikiza maandamano hasa zaidi Ukanda wa Magharibi (hapa sijui lengo lao ni lipi kugawanya nchi kiukanda?)

  Kabla ya hapo tulishuhudia kile kilichoitwa "OPERATION SANGARA" na kwa hakika ktk maandamano yote hayo kinachozungumzwa ni kauli yao ya hakuna kulala mpaka kieleweke!!

  Sasa imefikia mpaka Katibu wake mkuu anasubutu kujibizana na Mufti Mkuu wa Tanzania? ambae kama walivyo Maaskofu na Mapadre ametoa mawazo yake na si haki kwa Kiongozi wa Siasa kujibizana na Kiongozi wa Dini!

  Yaani nashindwa kumuelewa huyu ni kiongozi wa aina gani anaejibizana na kila mtu? mara anamjibu Mtabiri wa Nyota Mzee Yahya Hussein sasa kamgeukia Mufti na kinachonishangaza mbona viongozi wa kikristo wanapotoa kauli na vitisho au hata kuisifia na kuilinda CCM huyu Slaa haongei chochote?

  Yaani yeye wanyonge wake ni Viongozi wa Kiislamu tu?
  Sasa nauliza? CHADEMA mnautaka Urais na kuongoza hii nchi kwa mujibu wa Sheria na Katiba? Mwaka 2015 sio mbali! kushinikiza Maandamano kila kukicha ni usumbufu kwa wananchi na mnapoteza muda wenu bure ktk maandamano badala ya kuelekeza nguvu na akili zenu kuwaletea Wananchi waliowapa kura zao kwa kupata Wabunge wengi ambao wakiutumia vizuri miaka hii 5 huenda wakaleta maendeleo ktk majimbo wanayowakilisha!

  Au CHADEMA mnalenu Jambo?
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  safari moja huanzisha nyingine. naendelea na safari.
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kadogoo, Jerusalem Same ID with stupid argument
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,508
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  CRAAAAAAP mpaka inatia kinyaa!!!
   
 5. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Bila shaka Kadogoo hawa CHADEMA wanalao jambo na Muda si mrefu Mungu atawaumbua na kufichua lengo lao hilo! ni muda tu!
  "KILA AJAE NA SHARI AIJUA YAKE SIRI EEE MOLA IVUNJE YAKE DHAMIRI ASIWEZE KUSIMAMA AAAMIN"
   
 6. b

  boybsema Senior Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  kama huna cha kuandika humu ndani.....kalale!!!
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Zubeda, Kadogoo, Jerusalem SAME ID WITH POOR MIND
   
 8. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #8
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,167
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Ikiwa mufti ametoa mawazo binfsi kama unavyodai kwa nini asipewe majibu na PhD Slaa.
   
 9. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #9
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kadogoo------Today 01:48 PM
  Jerusalemu---Today 01:55 PM
   
 10. m

  mndeme JF-Expert Member

  #10
  Mar 24, 2011
  Joined: Sep 2, 2008
  Messages: 322
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kadogoo vip? mbona hujaleta hoja unapiga porojo tuuuuuu.....kalale usiwafundishe CDM kazi za siasa.

  Crap
   
 11. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #11
  Mar 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Same family, writing crap not worthy to read!
   
 12. J

  Japhet Mosi JF-Expert Member

  #12
  Mar 24, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kadogoo na Zubeda mnapaswa kuingizwa Guiness Book of Records za wenye kuongea na kuandika upupu au pumba zaidi ya watanzania 44million. Naombeni mtuambie elimu yenu ni madrasa tu au na vidato mmefika?
   
Loading...