Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

http://http://www.france24.com/en/20110411-2011-04-12-0310-wb-en-debate FRANCE 24 - Ivory Coast: the fall of Laurent Gbagbo (part 2)
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Standard Three pupils of Chinyarira Primary School in Nanyumbu District, Mtwara Region, while away the time outside their classroom, as captured by our correspondent yesterday...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kauli ya bisamia kwa wazanz waliopinga muswaada wa katiba ni uhuni. kweli hii ni kejeli, mangapi uliowafanyia waznz mabaya? 1)kuifisidi hoteli ya bawani wakati akiwa waziri wa bishara na utalii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni dhahiri kwamba tetesi za mbio za urais 2015 zimetawaliwa na majina mengi ya watu wa bara,Je sarakasi zilizomwengua Dr.Salim 2005 zitavumiliwa na wazanzibar au ndiyo ukomo wa muungano?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyerere, Baba wa taifa anahutubia waandishi wa Habari kwenye kipindi cha hotuba maridhawa Sibuka TV, anazungumzia mambo mengi muhimu ambayo leo yanalisumbua Taifa. Wanasema kipindi kitarudiwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natabiri kifo cha CCM 2011-2012, 1. JK Hawezi kumtosa EL wala RA Na ikitokea akafanya ivo na yeye ndio mwisho wake, labda RA kidogo anaweza kutoswa, 2. Akishindwa kuwatoa atatolewa yeye na wao na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya kuvuliwa gamba. kuna sehemu alisema "Sisi wadogo tumejiuzulu ili kukinusuru chama, ila walipaswa na viongozi wa juu wajiuzulu pia" Kauli hii inautata wakuu. Viongozi wake wa juu ni...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wilson Mukama kaukwaa ukatibu mkuu wa CCM, Makamba nje! Ni kama ilivyotabiriwa na mwana JF mmoja January 12, 2011 hapa ~...
0 Reactions
344 Replies
34K Views
Wadau napenda kuwatangazia wakazi wa Mbeya na vitongoji vyake kuwa kesho tarehe 13/04/2011 kutakuwa na mkutano wa kukusanya maoni kuhusu mswada wa kubadilisha katiba,utafanyika katika ukumbi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi: Inavyoonyesha kwa RA na rafikiye EL ni kwamba the game is up -- yaani ndoto zao huenda zikawa zimeyayuka -- ndoto za kutawala nchi hii baada ya JK ambaye sasa anawatosa. Kwa hali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna wale wanajf wanaotoa thread kibao za kuonesha kuwa LOWASA ni Rais wa TZ 2015 mmeingia mtini? Naona swahiba wake jk kamfungia vioo Dodoma. Kapewa siku 90 kujiondoa kwenye NEC. Yeye na Rostam...
0 Reactions
124 Replies
11K Views
Rais na Madaraka yake Makubwa ya Mateuzi YouTube - Skia hii kitu kutoka kwa Jenerali Ulimwengu na mchakato wa katiba 2011
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba tumpe heshima anayostahili Mzee Wetu Rashid Mfaume Kawawa mmoja wa Waasisi mahiri kabisa wa Taifa letu. Natumaini wote tunakumbuka kuwa Simba wa Vita aliaga dunia katika Hospitali ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
By In2EastAfrica - Wed Apr 13, 1:41 pm National Assembly The government said on Monday that the power crisis was not the only factor behind low revenue collections in the country...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baraza la Madiwani Jiji la Arusha limepitisha bajeti ya zaidi ya Sh. bilioni 48.1 kwa mwaka huu wa fedha wa 2011/ 2012, licha ya madiwani 11 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema )...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
naomba niwape tofauti kati ya chama maarufu, chadema, na chama tawala, ccm- ambacho kitakufa hata kama wakibadilishana nafasi. chadema: 1. wasema ukweli daima na hali halisi ilivyo, na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyokutana tarehe 10 Aprili 2011 mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Pamoja na maazimio mengine yote, imeona hali ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mara nyingi wakati wa uchaguzi mtu humpigia kura mtu amtakaye awe kiongozi wake akiwa ana sababu mbalimbali, Pia huwa na mtu ambaye asingependa kabisa awe kiongozi wake kiasi kwamba hata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi tajiri sana ina madini kama gold,diamonds,tanzanite,uranium,shaba na pia 2na misitu kila pande ya nchi,tuna mbuga za wanyama za kutosha tu ambazo ni kivutio kwa watalii kutoka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kwenye RaiaMWEMA la leo, kuna habari yenye kichwa "Rostam, Lowassa wakatwa miguu". Kwenye habari , inaeleza kwamba Mwanasheria Mkuu Jaji Frederick Werema aliharakisha kuanguka kwa watuhumiwa wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…