Mbio za urais 2015:wazanzibar watawavumilia watanganyika?

Nancheto

Member
Mar 4, 2011
25
4
Ni dhahiri kwamba tetesi za mbio za urais 2015 zimetawaliwa na majina mengi ya watu wa bara,Je sarakasi zilizomwengua Dr.Salim 2005 zitavumiliwa na wazanzibar au ndiyo ukomo wa muungano?
 
Ni dhahiri kwamba tetesi za mbio za urais 2015 zimetawaliwa na majina mengi ya watu wa bara,Je sarakasi zilizomwengua Dr.Salim 2005 zitavumiliwa na wazanzibar au ndiyo ukomo wa muungano?
Nancheto, kwanza karibu jf, pili ndugu yetu Nancheto, acha 'ncheto' usije kupata 'nchecheto' bure!.
Kuna uhusiano gani kati zile sarakasi zilizomuengua Dr. Salim na ukomo wa muungano?.

Kwani kwenye urais, kuna mkataba rasmi, ua zamu rasmi ya kuamua rais atoke wapi?. Kwa taarifa tuu, baada ya Zanzibar kuipoteza chance kupitia kwa Dr. Salim, ile ndio ilikuwa nafasi yao ya mwisho kupata rais kutoka Zanzibar, kama JK ambaye ndiye kipenzi cha watu, kaambulia asilimia 42% ya kura, CCM ikimleta Mzanzibari yoyote, si ndio itakuwa kama kumsukuma mlevi?, jamaa watachukua nchi kiulaini kama vile wameokota!.
 
wanaweza kujaribu maana hata hao kina Dr salim A salim bado ni wanafaa kuwa Rais wa nchi hii.
 
Mnanishangaza sana nyinyi watu kwa kweli. Wazanzibari hawazungumzii tena habari za Urais wa Tanzania.

Agenda yetu sasa ni kuwa saa ya ukombozi ni sasa, kama mna ubavu na nyinyi daini Tanganyika yenu.
 
Back
Top Bottom