Hotuba maridhawa kwenye sibuka tv

Mkorosai

Member
Nov 17, 2010
65
0
Nyerere, Baba wa taifa anahutubia waandishi wa Habari kwenye kipindi cha hotuba maridhawa Sibuka TV, anazungumzia mambo mengi muhimu ambayo leo yanalisumbua Taifa. Wanasema kipindi kitarudiwa kesho saa saba. Anazungumzia udini, ukabila, role of private sector in our nation economy na ushindani wa kibiashara.
 
Mwalimu, tutaomboleza daima kukulilia.
Ham,na mzalendo kama wewe, wote malaghai wanaopiga siasa leo.
 
huyu mzee wetu alikuwa ni God sent kwa kweli....sasa hivi anamzungumzia mgombea urais kwa ticket ya CCM enzi hizo mwaka 1995, lakini kwa jinsi anavyoelezea hizi sifa za mgombea rais nina uhakika hata miaka 100 ijayo kwa CCM ya sasa haiwezi kumpata. Labda CCM ijivue gamba.
 
haa haa haaa kila ki2 nyerere unaitwa nani mimi nyerere kila ki2 nyerere by Bonta
 
kumbe alijua kuwa wajumbe wa NEC ni wachakachuaji!!!!! tuwaachie wanachama na wananchi wawazungumze wagombea, wazungumzie viongozi wao na mambo yanayo wahusu!! MAMBO YA KATIBA YAENDE KWA WANANCHI
 
huyu mzee wetu alikuwa ni God sent kwa kweli....sasa hivi anamzungumzia mgombea urais kwa ticket ya CCM enzi hizo mwaka 1995, lakini kwa jinsi anavyoelezea hizi sifa za mgombea rais nina uhakika hata miaka 100 ijayo kwa CCM ya sasa haiwezi kumpata. Labda CCM ijivue gamba.

kweli kabisa
 
Back
Top Bottom