Hivi tunajivunia kuwa watanzania au tunavumilia kuwa watanzania?

Mpigania haki

Member
Apr 10, 2011
53
16
Tanzania ni nchi tajiri sana ina madini kama gold,diamonds,tanzanite,uranium,shaba na pia 2na misitu kila pande ya nchi,tuna mbuga za wanyama za kutosha tu ambazo ni kivutio kwa watalii kutoka duniani kote,tuna mito mikubwa km mto nile n.k,tuna maziwa makubwa na marefu kama ziwa victoria na tanganyika,2na wasomi kibao ambao kama 2ngewatumia vizuri bac Tanzania ingekua kama UNITED STATE,bt pamoja na kuwa na vyote hivyo Tanzania ni nchi maskini wa kutupwa wananchi 2nakula mlo mmoja per day,uchumi mbovu,kuongezeka kwa matabaka kati ya watawala na watawaliwa kumezidi,na wakati huohuo inasemekana eti Tanzania ni nchi ya amani na upendo kweli waungwana hebu 2jiulize kwa umakini cc 2naoitwa watanzania ni kweli 2najivunia kuwa watanzania au 2navumilia kuwa watanzania??????????????????????????????????????????????????????????...
 
Mipaka ya Tanzania ni ipi?

Hili swali linawahusu Wazanzibari na nchi yao? Raisi wa Tanzania ni nani? Anachaguliwa na kina nani? Anzia hapo.

Karibu JF.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom