Bi samia suluhu uwaziri smz 2000-2010 mengi yamejiri na uhuni wa zanzibar

yakhee

Member
Apr 13, 2011
5
0
Kauli ya bisamia kwa wazanz waliopinga muswaada wa katiba ni uhuni.
kweli hii ni kejeli, mangapi uliowafanyia waznz mabaya?
1)kuifisidi hoteli ya bawani wakati akiwa waziri wa bishara na utalii.
2)Kuifilisi Bizanje na kuingiza mchele mbovu kwa kushirikiana na wafanyabiashara wa ccm wasiolipa kodi yoyote.
3) Kumkikngia mtoto wa IKULU kutolipia kodi ya mapato ya znz.
4)Kuikodisha znz kwa wataliana huku wakifanya uchafu
 
Back
Top Bottom