Mwaka dume kwa jk-2011-2012

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
2,569
499
Natabiri kifo cha CCM 2011-2012,

1. JK Hawezi kumtosa EL wala RA Na ikitokea akafanya ivo na yeye ndio mwisho wake, labda RA kidogo anaweza kutoswa,
2. Akishindwa kuwatoa atatolewa yeye na wao na nguvu ya chama ccm au nguvu ya Umma,
3. Na akiwatosa wote hawatakubali kufa wenyewe tena kama mwanzo watatangazana na kugawanyika kwenye makundi kitu ambacho kitapelekea tafrani kubwa na ikumbukwe EL Ana nguvu ya kila kitu na bongo ina read kilometa vizuri sana kuliko hat Mkuu wake, Anaweza kununua makanali wa4 wakampindua JK masai ni mjanja sana yule,

Kweli huu ni mwaka dume kwa Mh JK, 'mark my word' don't wake me up until i wake u':mmph:

Sina chama wala kadi ya chama cct....
 
Tumekusoma,
Sidhani kama unasifa sawa na Sheikh Yahaya ila mapinduzi halisi ya kuiangusha serikali ya Kikwete yatatoka CCM na huo ndo mwanzo kama ulivyotabiri. Ngoja tuone maana July siyo mbali ambapo bajeti itatuonesha kama tumetabiri sawa au tumekosea.
 
The time will tell, yahaya anatumia giza ndani, mimi nimesoma alama na siongei kisiasa wala sina interest na siasa
 
Miaka isiyogawanyika huwa migumu sana na huambatana na tafrani kubwa, this is 2011 & 2013...akiivuka hii basi JK kidume.
 
Back
Top Bottom