Hatimaye serikali/ccm yakubali mswada kutafiriwa kwa lugha ya kiswahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye serikali/ccm yakubali mswada kutafiriwa kwa lugha ya kiswahili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lusambara, Apr 13, 2011.

 1. L

  Lusambara Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyokutana tarehe 10 Aprili 2011 mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Pamoja na maazimio mengine yote, imeona hali ya upepo wa siasa ulivyo na ikaazimia kwamba:-

  KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA KUREKEBISHA KATIBA (NA SIYO KUUNDA KATIBA MPYA) Wananchi waelimishwe kuhusu madhumuni halisi ya muswada huu, NA PIA
  Muswada huo utafsiriwe kwa lugha ya Kiswahili ili kuwawezesha wananchi wengi kuuelewa na hivyo kuwa katika nafasi nzuri ya kutoa maoni.

  Kwa hali hii mswada hauwezi kuendelea tena mpaka urekebishwe.
  Source - Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM
   
 2. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  hivi CCM ina web site kumbe....ingawa umeiweka hapo bado siwezi hata direct cursor yangu ni click coz nina bad impresion juu ya hiko chama...
   
 3. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  What an insult to wananchi? Yaani sisi tukisoma hatuna uwezo wa kuelewa hadi watufundishe. Au wanaandaa mchongo wa semina za nchi nzima ili wale pesa zetu?

  Waambie sisi tukisoma tunajua nini kimeandikwa hatuhitaji semina kufundishwa nini kimeandikwa
   
 4. Unyanga

  Unyanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 402
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ngoja tuone!
   
 5. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hivi muswada kumbe ulikuwa umeandaliwa na CCM! Au tuseme kuwa CCM na serikali hawawezi kutenganishwa?
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  wazee wa kuota magamba na kujifua!
  Ecdysis!!!
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  utawaweza hawa wazee wa magamba??!!!
  doesnt make any sense!
   
 8. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Hivi ni katiba mpya au ni marekebisho yanayokusudiwa?
   
Loading...