Mkutano wa kukusanya maoni ya mswaada wa katiba Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa kukusanya maoni ya mswaada wa katiba Mbeya

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by mwankuga, Apr 12, 2011.

 1. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wadau napenda kuwatangazia wakazi wa Mbeya na vitongoji vyake kuwa kesho tarehe 13/04/2011 kutakuwa na mkutano wa kukusanya maoni kuhusu mswada wa kubadilisha katiba,utafanyika katika ukumbi wa Mkapa kuanzia saa 4:00 asubuhi.Wote mnakaribishwa bila kujali itikadi zenu.Asanteni.
   
 2. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kwa Taarifa
  Twaja
   
 3. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Good bora muanze kutafuta maoni mapema kwa wananchi, ndio mtajua mapema kuwa huko ni kupoteza muda kumbe hayo maoni sijui madai/matakwa ya wananchi yapo tayari kwenye katiba ya sasa. Mtajikuta mnapewa madai mengi tu ambayo yapo kwenye katiba ya sasa isipokuwa hayaheshimiwi.

  May be after that ndio mtaelewa tatizo lilipo kwenye katiba ya sasa ni juu kwenye governance and accountability (balance and checks) kuliko chini kwenye haki za raia (hivyo vitu vipo hila havieshimiwi). Matatizo mengine ya msingi ni sheria kutofanya kazi, nguvu za baadhi za taasissi/vyombo ya seriakali na baadhi ya viongozi (particularly raisi), CCM bado kinaongoza kama nchi ya chama kimoja with excessive powers of the ruling part (kwanini wavunje bunge kwa mantiki ya chama wao ni nani).

  Ndipo mtaelewa hii tena sio shughuli ya mashee, mapadri wala wananchi ni mchezo wa maloya wanaotambua good governance na katiba inayoleta usawa katika vyama vingi, social science scholars kuweza kubalance mahitaji ya wote kwenye nchi yenye jamii yenye muono tofauti.

  By the way party policies on economic programmes and social welfare are not covered in the constitution that is based on national income and party programmes. Maana naona kuna baadhi mmen'gang'ana as if money grows from the tree.

  Something tells me a majority of us are very slow people.
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nimependa hii demonstration ya wazenji. Ingefanyika bara wangesema ni CDM

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...