Rostam sasa kuiuza New Habari Media Group? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rostam sasa kuiuza New Habari Media Group?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Apr 13, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi:

  Inavyoonyesha kwa RA na rafikiye EL ni kwamba the game is up -- yaani ndoto zao huenda zikawa zimeyayuka -- ndoto za kutawala nchi hii baada ya JK ambaye sasa anawatosa.

  Kwa hali hiyo hakuna haja tena kwa RA kumiliki New Habari maana media house hii ilinunuliwa na RA si kwa lengo la kufanya biashara na kupata faida -- bali ni kujenga mazingira ya EL kuingia Mjengoni (Ikulu) mwaka 2015.

  Kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa sana kwamba RA anaweza akaipiga bei New Habari.

  Hapo hatakosa takers na New Habari inaweza tena kurudi katika hali yake ya zamani as a competing media organisation.
   
 2. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  chadema inunue medai hiyo
   
 3. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  haliuziki, kwa sababu waandishi wake ni mbumbu na weredi wa kupindisha habari na uchochozi
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Duh hili nalo neno.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  what is the price????????
  its high time now i own a media co...
   
 6. B

  Batale JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,068
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Untrustable media, no business at all CCM WAINUNUE.
   
 7. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kama hajafikiria hayo namshauri afanye hivyo.
   
 8. m

  matawi JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wazo zuri tafuta simu ya basha....akhr sorry bashe atakupa quotation
   
 9. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Not that fast, unafikiri wanagive up kirahisi, jua JK,EL na RA walikuwa kambi moja labda mpaka sasa. Sioni kama watawatoa hao watu kwenye uongozi wa CCM na kama ikitokea basi naona yale aliyosema Pinda kuwa nchi itatikisika huenda yakatimia,maana hawa jamaa ndo mastermind wa mambo mengi yaliyofanyika ndani ya CCM na Serikali yake,na Jk mwenyewe akiwa mshiriki.
   
 10. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Karibu JF Mjapani Watanabe
   
Loading...