JUMUIA YA WANAOISHI NY, NJ na CT yapata Viongozi Wapya hili ndio Gamba Jipya la CCM huko?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JUMUIA YA WANAOISHI NY, NJ na CT yapata Viongozi Wapya hili ndio Gamba Jipya la CCM huko??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, May 1, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hawa ni Viongozi wa CCM as Malecela asema CCM maeneo hayo kujivua gamba?
  [​IMG]

  Balozi wa Tanzania Umoja Wa Mataifa Ombeni Sefue (Kati) wakiwa na Viongozi wapya wa Jumuia ya Watanzania waishio New York, New Jersey na Connecticut.
  Toka Kushoto
  Shaban Mseba Naibu Katibu
  Dr. Mariam Abu Naibu Mwenyekiti
  Hajji Khamis – Na Mtoto Wake Mwenyekiti
  Ombeni Sefue Balozi
  Vincet Mughwai Katibu
  Philip Lwiza Mtunza Hazina
  Mzee Temba Msaidizi Mtunza Hazina
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  umechanganya habari, Billy was referring to CCM @ NYC sasa sijui wewe unarefer nini??
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mzee Temba anatatizo Kiafya ... AMA macho yangu?
   
 4. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,349
  Trophy Points: 280
  MacDonald syndrome!!
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hot dogs!
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  NY Stands 4 New York na Sijui hii ni Jumuia ya nini? Mimi naishi NY sikualikwa kwa Mh. Balozi kwa huu Mkutano
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Pheeew kukaa kote NY bado wanaonekana wamchuuuja :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
  mweeeh ndo maana wanatafuta njia ya kurudi bongo haha hahha hampati kitu tumewashitukia :smile-big::smile-big::smile-big:
   
 8. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #8
  May 2, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Re: JUMUIA YA WANAOISHI NY, NJ na CT yapata Viongozi Wapya hili ndio Gamba Jipya la CCM huko??

  - Hiki ni chama cha wa-Tanzania wote, I was there ukiangalia records humu utaona kuna wakati nilitangaza kuundwa wka hiki chama, so proud kwamba sasa kimesimama,

  - The next phase sasa ninaendelea na matayarisho ya kufungua tawi jipya la CCM, ambalo kama kawaida kila mwananchi anaruhusiwa kuwa mwanachama, tunasubiri maelekezo zaidi toka Makao Makuu ya CCM, Dodoma.

  - Ninapenda nimpongeze Ndugu yangu Hajji Khamisi, ambaye nimempigia debe sana kule Facebook kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa chama, smart, strong, young and intelligent, bravo bro na wengine wote pia mliochaguliwa hongereni sana, I am looking forward to work with you guys on the CCM's side!

  - Much Respect!


  William @ NYC, USA.
   
 9. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  This is too low jamani tawi la CCM NY linawezaje hasa kutoa chachu ya mageuzi ndani ya CCM wakati hao walioko kwenye uongozi ni makuwadi wa ufisadi? Gamba haliwezi kuondolewa huko, gamba linatakiwa kuondolewa Magogoni.
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  May 2, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Re: JUMUIA YA WANAOISHI NY, NJ na CT yapata Viongozi Wapya hili ndio Gamba Jipya la CCM huko??


  - ?????????????????????
   
 11. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mkuu ebu ongea lugha inayoeleweka hiyo sio jumuiya ya watanzania, hiyo ni jumuiya ya CCM, labda sema watanzania wote wanakalibishwa,
  na sio kujaribu kuwabaka watanzania kwa kujifanya ni jumuiya ya watanzania na hakuna CCM wakati hapo umesema unasubiria maelekezo kutoka ccm makao makuu, watu kuwa wanachama sio tatizo ila hii jumuiya ni ipi? ccm au watanzania? na ukisema watanzania hiyo ccm dodoma imekuja je?
  maana sio muanze kutumia hela ya serikali kwenye mambo ya chama kwa kujifanya ili sio tawi la chama, kuweni wawazi hata mafisadi walianza hivi hivi,
  come again please!!!!!!!!!!!!

   
 12. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Acha kujikosha wewe Malecela kwani taarifa za CCM zinaonesha wazi wewe ni Chadema na unamiliki Jamiiforums ili uiangamize CCM sasa hizo tambo unadhani zitabadili upepo wa Nape?

   
 13. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  maajabu hayaishi Tanzania, kila siku kuna kibomu, sasa hapa tumerudi square one
  kwamba jf inamilikiwa na chadema au wana-chadema?
  mkuu kaa vizuri kuna makombora yanakuja sio muda

   
 14. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2011
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni! Duh!

  FMEs!
   
 15. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2011
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Unajua ukitaka kuchonganisha kwa nia ya chuki zako binafsi, tumia lugha sophisticated japo kidogo kuwaheshimu unaowa-address maana sio wajinga as you think kwamba wanaweza kuingia mkenge na maneno cheap kama haya, yale yale wabongo na maneno maneno, matendo hakuna!

  - I know kwamba inauma sana lakini it is life!


  FMEs!
   
Loading...