Mnyika tafadhali soma hii

NG'WENEKELE

Member
Mar 7, 2011
14
0
Juzi nikiwa natizama kipindi cha daladala kinachorushwa na itv kila siku saa moja jioni.kuna tetesi mh. J.mnyika umechukua ela kutoka kwa magari ya maji taka ili yaendelee kumwaga maji taka hayo katika mabwawa ya kiwanda cha urafiki yaliyopo mabibo.je tuhuma hizi zina ukweli?tujulishe wapiga kura wako wa mabibo.
 
Kijana ameingia kwa kasi sana kukamata mshiko, nasikia siku alipopewa ile cheki ya Tshs 90m alichanganyikiwa akaanza kutetemeka , kwani hakuamini kabisa kama angeweza kupata hela kama hizo
 
Kumbe hili ni jukwaa la umbeya?

Hizi ni habari za ndani kabisa na za uhakika, na tena huyu dogo kwenye akaunti yake ameingiziwa Tshs 280m kwenye benki fulani, muulizeni amepewa na nani ? asije kuwa anatumiwa na mapacha 3
 
sidhani kama mbunge aweza kuidhinisha eneo la kutupa taka!!!

Na kama alipewa hiyo rushwa basi mtoa rushwa si mfanyabiashara maana hajui namna ya kutumia fedha yake!!! IF SO THEN, HE GAVE THE WRONG PERSON!
 
Kwani yalikuwa yanamwaga wapi? Na nani katoa mshiko huo? Ingawa habari hii inaonekana ni ya umbeya, tunaomba Data zaidi.
 
Ni vizuri mwandishi akatuwekea data kamili ili tusioishi Dar tuelewe sakata zima na kuweza kufukua beyond the carpet. Mnyika ni mbunge, hivyo ni mhimu tukajua data kamili.
 
mbunge hana mamlaka ya kutoa kibali cha gari la maji taka limwage wape,hipo kazi ya halmashauri....NG'WENEKELE kama huna cha kuandika unaweza kusoma walichoandika wenzako itakusaidia pia..sio kuandika utumbo tu ili na wewe uonekane uwa unapost humu...kaendelee na kazi ya kuvua gamba huko
 
Sasa mbona umekuja juu? tulia watu waandike uone jinsi kijana wenu alivyo nae fisadi, niliisha wahi kusema humu ndani hakuna mtu msafi CDM hata mmoja, yataanza kujionyesha kwa mmoja baada ya mwingine, haya ya mnyika hayo sasa
 
Ninamashaka mtoa mada ni m1 kati ya wale waliotumwa na msekwa! Ndio maana anasema 'amesikia' tena kwa bi kiroboto. Ni aibu kwa great thinker kutuletea habari za udaku tuzijadili. Ila kwakuwa huyu anatumiwa, haoni aibu. Tunashukuru tu maana tunaendelea kuwafahamu.
 
sidhani kama mbunge aweza kuidhinisha eneo la kutupa taka!!!

Na kama alipewa hiyo rushwa basi mtoa rushwa si mfanyabiashara maana hajui namna ya kutumia fedha yake!!! IF SO THEN, HE GAVE THE WRONG PERSON!
Nakubaliana na wewe mkuu. Mbunge hana uhusiano wowote na utoaji wa idhini ya kutumia eneo au kukataza. Wenye idhini ya kufanya hivyo ni Wakurugenzi wa manispaa au jiji. Unapotuhumu mtu inabidi ijifahamishe kwanza na taratibu za uendeshaji wa serikali yetu ya Wadanganyika.
 
Sasa mbona umekuja juu? tulia watu waandike uone jinsi kijana wenu alivyo nae fisadi, niliisha wahi kusema humu ndani hakuna mtu msafi CDM hata mmoja, yataanza kujionyesha kwa mmoja baada ya mwingine, haya ya mnyika hayo sasa
Huu ni mchezo mliotumwa na chama chenu cha magamba mje JF kujaribu kuleta propaganda zenu za siasa za maji taka. Bahati mbaya mnazileta kwa watu ambao siyo mazezeta kama mlivyo huko kwenu na hivyo hoja zenu hazipata mashiko kirahisi kama siyo ninyi kupoteza muda wenu kirahisi na kwa gharama nafuu ya kupewa T-Shirt na kofia za njano.
 
Ndugu wanajf,
naomba mwache kujadilia kitu toka kipindi cha daladala maana ni umbea mtu msipoteze mda wenu.
 
Kijana ameingia kwa kasi sana kukamata mshiko, nasikia siku alipopewa ile cheki ya Tshs 90m alichanganyikiwa akaanza kutetemeka , kwani hakuamini kabisa kama angeweza kupata hela kama hizo

Hizi ni habari za ndani kabisa na za uhakika, na tena huyu dogo kwenye akaunti yake ameingiziwa Tshs 280m kwenye benki fulani, muulizeni amepewa na nani ? asije kuwa anatumiwa na mapacha 3

Huu ni mchezo wa kitoto. Mpumbavu pekee ndiye anaweza kuamini kauli hizi. Na hii ndiyo style ya mapacha 3/mafisadi 3 kuchafua watu wengiiiiiiiii ili wapate nafuu. Ujinga wao ni kwamba nafuu wanayotaka si kuonekana wasafi, bali kwamba sio wachafu peke yao. Wanadhani hiyo ni falsafa ya kuwasaidia, kumbe ni fallacy ya kuwaangamiza. Kupata mil. 90 huo ni mkopo ambao wabunge wote wamepewa na watalazimika kuulipa. Pia hakuna ushahidi kuwa kila mbunge (hasa Mnyika) aliuchukua kwa kuwa ni hiyari ya mbunge. Hizo fedha nyingine pia hazina ushahidi, benki haitajwi (itaje ili watu wafuatilie), na sababu inayoeoelezwa haikubaliani na conclusion, kwa kuwa si kazi ya mbunge kutoa hiyo kazi mnayodai. Ungesema, ni mkurugenzi (wa serikali ya CCM au meya (wa CCM) tungekuelewa.
 
Jamani 'kasikia' hajafanya utafiti, bt Cku nyingne weka data an remember "No research No right to speak"
 
Sasa mbona umekuja juu? tulia watu waandike uone jinsi kijana wenu alivyo nae fisadi, niliisha wahi kusema humu ndani hakuna mtu msafi CDM hata mmoja, yataanza kujionyesha kwa mmoja baada ya mwingine, haya ya mnyika hayo sasa
watu kama geniusmavi china mnanyongwa
 
Jamani wana JF!
Ndio maana JF inaonekana ni CDM kwa kupinga kila kinachoibuliwa against CDM na kuunga mkono kila kinachohusu ccm, mngeambiwa J. Makamba kapewa hela na makampuni ya madini kusafirisha udongo wenye dhahabu nje ya nchi naamini mngeendelea kudodosa na kusaka ukweli na sio kumjibia kuwa hiyo ina mhusu waziri wa madini kama mnavyomjibia Mnyika sasahivi. Ingawa habari hiyo ni tetesi lakini source imetajwa kipindi cha daldala ingawa ushahidi zaidi katika hilo unahitajika na pia sio lazima kila tuhuma ijibiwe lakini ukimya pia unaleta hisia za kuwepo kwa viji chembechembe vya ukweli lakini pia watu huchokoza ili wapate kitu flani ndani yake. Tuvumiliane jamani tunapotofautiana.
 
Mleta hoja hakuandika kama ni tetesi, na tetesi si tuhuma za kuchafua watu. Tunachotaka humu ni ushahidi au facts zinazoweza kutusaidia kupata ukweli. Kipindi cha daladala huwezo kukifuatilia kupata ukweli. labda kama wale wanaozungumza wanafahamika, wanahojiwa kwa undani ili kuthibitisha madai yao, pia akili ya mwandishi mwenyewe kutambua uwezekano wa tuhuma yenyewe. Hata awe Makamba, januari, ngeleja, tutadai hayo ili kila mtu apate haki yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom