Zawadi mei mosi kitaifa kwa mwalimu imetolewa na mwajili au CWT?Je mkurugenzi wa Moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zawadi mei mosi kitaifa kwa mwalimu imetolewa na mwajili au CWT?Je mkurugenzi wa Moshi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tusichoke, May 1, 2011.

 1. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Zawadi za wafanyakazi bora ,aliyenacho ndiye anayeongezewa?Hivi kweli Serikali inatoa 600,000/= kwa mwalimu zawadi ya mei mosi wakati kada nyingine wahudumu wamepewa zaidi ya 1Million,hii imekaa vipi
   
 2. kinya

  kinya JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 483
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  ualimu hapa bongo unapuzwa sana hawajui kuwa hawa ndo wanatengeneza vijana or wafanya wa kada zingine
   
 3. s

  salieli Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni aibu kuona zawadi kwa mwalimu bora anpewa tshs.600,00/= kwani mashirika mengine ya serikali w2 wanajizolea mamilioni na zawadi nyingine kem kem.
  inazihirisha wazi ule usemi wa uwalim ni wito unapaswa uondolewa kwenye matangazo hauna maana kama utajitolea alafu unaonekana kama unajipendekeza.
   
Loading...