Nasikia watuhumiwa wa ufisadi ndani ya ccm wamepewa barua zao rasmi leo!

Kaseko

Senior Member
Feb 15, 2011
160
32
nimeambiwa hivyo lakini ninaomba wanajf mtujuze aliye na habari zenye uhakika mi nimejiuliza wataweza kweli au ni michezo ya kuigiza
 
JF mnavyoshambulia watu mpaka watu wanaogopa kuweka tetesi,.Mara utasikia we need source... mara source please!.
 
Nikweli wamepewa rasmi leo na sio watatu zimetoka jumla ya barua tisa cjapata majina ya wote waliopelekewa barua lakin nimeelezwa zinaandaliwa nyingne 6
source chanzo chakuaminika ndan ya ccm
 
lakini msijeshangaa mkisikia majina ya waliopewa barua sio hao mnaofikiria. Chama cha Magamba hakiishi maajabu na usanii, utasikia waliopewa barua Rajabu Juma, Hassani lweche nk, hakuna cha EL, RA wala AC.
 
Nikweli wamepewa rasmi leo na sio watatu zimetoka jumla ya barua tisa cjapata majina ya wote waliopelekewa barua lakin nimeelezwa zinaandaliwa nyingne 6
source chanzo chakuaminika ndan ya ccm

Mwisho wa ufalme wa ccm ndo huu.
 
Nikweli wamepewa rasmi leo na sio watatu zimetoka jumla ya barua tisa cjapata majina ya wote waliopelekewa barua lakin nimeelezwa zinaandaliwa nyingne 6
source chanzo chakuaminika ndan ya ccm
Do you expect anything white out of the charcoal? Wait and see
 
Nikweli wamepewa rasmi leo na sio watatu zimetoka jumla ya barua tisa cjapata majina ya wote waliopelekewa barua lakin nimeelezwa zinaandaliwa nyingne 6
source chanzo chakuaminika ndan ya ccm

Inaonekana Dr anawatesa sana hawa jamaa maana kama zimetoka 9 huku ilitarajiwa ziwe 3 kwa kuanzia hata kama wamefanya usanii wamelazimika kuufanya kwa presha ya Dr na hakika utawagharimu
 
Majina yakifahamika tafadhali tujulisheni nataka nikakeshe nikisherekea ila naogopa wasije wakatutajia majina ya watu tusiowajua.Sitashangaa nikisikia watu kama;
i.Milio Madafa (balozi wa nyumba kumi)NDUNGU-GONJA-SAME.
ii.Mesherumanya Mamboleo (balozi wa nyumba kumi)KETUMBEINE-MONDULI.
-
-
-
-
 
Nikweli wamepewa rasmi leo na sio watatu zimetoka jumla ya barua tisa cjapata majina ya wote waliopelekewa barua lakin nimeelezwa zinaandaliwa nyingne 6
source chanzo chakuaminika ndan ya ccm

Ni vizuri tukafahamu barua hizo zinahusu nini-Kufukuzwa uanachama, kuombwa wajiuzulu kwa hiari yao, au kitu gani...? vinginevyo hakutakuwa na umuhimu wa kufahamu kuwa wamepewa barua
 
harusi ya mjukuu wa mfalme ilipendeza sana, watu wakisubiri busu la kate na prince.....! Hamna habari nyingine za ulaya!
 
kama barua zenyewe ni kama njugu basi ili picha la kiindi
tumeibiwa kiingilio na star wa movie atakalia kuimba nyimbo za mapenzi tu hakuna madhala hapo.
namuonea huruma NAPE ina maana anakwisha kisiasa fasta namna hii, hata hakudumu
Nikweli wamepewa rasmi leo na sio watatu zimetoka jumla ya barua tisa cjapata majina ya wote waliopelekewa barua lakin nimeelezwa zinaandaliwa nyingne 6
source chanzo chakuaminika ndan ya ccm
 
Sioni kiongozi yeyote wa ccm mwenye dhamira, nia ya dhati uwezo wa kuandika na kusaini eti barua ya kumvua uongozi mbali na uanachana mheshimiwa edward lowassa, rostam aziz, andrew chenge, fredrick sumaye na wengine. mtasubiri watu wafukuzwe mpaka mwisho wa dunia
 
CCM will soon collapse,the way we are witnessing betrayal and denial of fund raiser within the ccm while the main receiver is pretending to be clean while he is not.mr.Jakaya why can't you resign? We Tanzania citizen we have lost trust in you
 
Back
Top Bottom