VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Kutokana na wimbo unaoimbwa na Sekretarieti mpya ya CCM,'CCM sasa ni chama kipya', chama hicho kimetakiwa kuomba usajili kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini,John Tendwa ili kisajiliwe.Wimbo huo unakifanya chama hicho kifanye usajili kama vyama vingine vipya kikiwemo CCK.Hatahivyo,imebainika kuwa 'CCM ya zamani' haijawahi kuomba na kupata Usajili.Kilisajiliwa moja kwa moja na Sheria ya Vyama vya Siasa,1992 bila idhini ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini.CCM iharakishe suala hilo amasivyo izime wimbo huo wa taarabu..........