Ridhiwani CHADEMA, Wasikutisha, ni wakati wako Kutafuna Nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhiwani CHADEMA, Wasikutisha, ni wakati wako Kutafuna Nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Left Wing, May 1, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. L

  Left Wing Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumetokea tabia ya Vijana wa CHADEMA kushupalia Utajiri wa Mtoto wa Rais Dk. Jakaya Kikwete, wengi wao wao ni Vijana wa CHADEMA wanaosukumwa na Nongwa kwamba Baba yake Riziwani ni Rais.

  Napenda kuwaambia Waache wivu wa Kike, Kila Mbuzi hula kwa Urefu wa kamba yake, hata ninyi Baba zenu wangekuwa Ikulu Mngefanya vivyo hivyo. Namuomba Riziwani aendelee kuchapa Kazi kwa Sababu tunaamini ni Presidential Material, na yote hayo Ni Maneno ya Vijana wa CHADEMA ambao wengi wameamua Kuchagua fungu la Kukosa.

  Nimewapasha kama Donge linawauma Pandeni juu Mkazibe, mkishindwa Njooni CCM kunako Fungu la Kupata

  Hongera Rizwani Hingera ze Yang Bilionea
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Huyu ndio mwisho wa uwezo wake wa kufikiri kwahiyo si kosa lake naomba mumsamehe bure. alichonikuna ni kwamba yupo ccm, hiyo ni ishara kwamba chama hicho Yusuf Makamba ndio mtu wa kiwango cha juu kwa uelewa kuliko mnavyodhani, maana kama chama kina wanachama wazembe kiasi hichi, basi hata mtu mwenye pesa akiamuwa kuwa basha hawa hawatosalimika.
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,980
  Trophy Points: 280
  Mwambie vile vile asome ujumbe huu
   
 4. L

  Left Wing Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani kuwa CCM ni dhambi? Njoo na wewe huku tufaudu Matunda ya Uhuru, wewe endelea kupiga kelele tu watu tunafanya Alamba... Alamba....CCM Oyee wenye Roho za Kwinini Mtajinyonga Mwaka Huu na Ukizingatia ndio Tumeanza Kujivua Magamba Mmekwisha
   
 5. z

  zamlock JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kweli uwezo wake ni mdogo sana nampa pole kwa sababu azijui shida za nchii hii na watanzania kwa ujumla kwa sababu yeye ni mboga nane kujisevia ndo maana anapayuka mambo ya kijinga na uenda akawa shoga huyu mtu
   
 6. Elly B

  Elly B JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 1,194
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa. Lakini pia sijawahi kusoma posti ya kipuuzi kama hii. Mimi nashawishika kuamini kuwa Watanzania wote wanatakiwa kuwa wamoja linapokuja swala la maslahi ya Taifa. Hapa nashangaa anakuja huyu naye,hivi lini mtaacha kujipendekeza?
   
 7. n

  niweze JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijaona mtanzania mjinga na akili kama zako. Taifa lako linaibiwa na familia yako kudhauliwa kiasi hiki unadhubutu kutamka hii ni wivu? Kweli hawa wachache ndio mnaharibu taifa letu. Kikwete, Mkapa, Mwinyi na haya mafisadi watakupenda sana wewe na ujinga wako. Yote haya unamwambia huyu maskini mtoto wa kikwete ni "wakati wake" sio. I hope wewe sio binadamu ila ni spirit za devil zinakusumbua. Huyu jambazi unamwita presidential material in your eyes, hivyo ndivyo mkikaa na akikunywesha pombe kwa fedha za wagonjwa muhimbili unaona ni presidential materials sio, sishangai sana kwani ndivyo watoto wa mafisadi mlivyo siku zote mnafikiri uwezo wa kuiba na kushindwa kwetu kuwa na strong justice system mnajua hamtakwenda jela, basi subirini kidogo tu. Muulize Mubarak na familia yake wanasemaje sasa, walijua yote hayo yatawakuta au muulize Gadaffi basi.
  Egypt's general prosecutor considers moving Mubarak to jail
  Gaddafi

  "Just keep Dreaming JK and his son will end up in mansions, they will suffer the same way Tanzanians suffer now"​
   
 8. L

  Left Wing Member

  #8
  May 1, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona Maneno yangu yamekuingia Mpaka Kumoyo Naona Unatoa Mapovu

  Tuache Unafiki hata Ninyi mnalialia hapa Ufasadi Ufisadi ni kwa Sababu Hamjapata Fursa, Vijana Kibao hapa wanatamani kuwa MAPRINCE kama Rizwani, Miraji, Mwinyi, Karume, Malecela, Nnauye na Wengine Maana wanaona wenzao wanakula Bata basi Noooongwa acheni hizo bana
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Crap hizi Mod futeni huu upupu! Mipasho Peleka kwa michuzi pum...fu
   
 10. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,980
  Trophy Points: 280
  Watu wa mikwala yako ni upepo mtupu wengi huwa washika mapembe mimi hunijui inawezekana nafaidi kuliko wewe unayepiga kelele sanasana labda unapewa buku la internet cafe.
   
 11. n

  niweze JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha kichwa kidogo. Bado unafikiri kila mtanzania anafikiri kama wewe na familia yako ilivyo kiakili. I don't know where we get people like you. These things you should talk to you family not here, you just look ignorance. I am not sure why I even responding to you I should move one to bigger things to do.
   
 12. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Kweli jf kuna vituko !! Na kuwa kibaraka ni shida kweli. Eti yang bilionea Go to hell huyo aliyekutuma ni yang fisadi kamwambie hivo.
   
 13. L

  Left Wing Member

  #13
  May 2, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama Nimekuumiza Chukua hatua, Jining'inize Jinyonge na Ukafie Porini. Keki Iko Wazi sasa kwa nini watu wasiilie?
   
 14. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Inadhihirisha wazi kuwa watu ambao wako katika uongozi wa juu wa ccm wanahujumu uchumi wa nchi hii. Huyu kijana unayemsifia ni kiongozi wa vijana wa ccm. Je ameshaonyesha kuwa hizo 'bilioni' amezipataje? Kwa kiasi hiki, itabidi ccm kujivua gamba zaidi kuliko hayo magamba yaliyotajwa, maana unaashiria kwa maneno yako kuwa magamba yametanda mpaka katika kichwa cha nyoka.
   
 15. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mnapataje muda wa kujibu thraed za kupuuzi km hizi
   
 16. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Is this guy real?? ccm mpo? Maana huyu jamaa anazidi kuwatia kitanzia!
   
 17. L

  Left Wing Member

  #17
  May 2, 2011
  Joined: Mar 28, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu Mbona Vijana wengi tu Matajiri na Hamuwasemi, akina Mohamed Dewji ni Vijana na ni Matajiri au kwa Sababu Ngozi Nyeupe? Acha kulalama Mkuu Fanya Kazi na Ukubali kwamba Dogo kwa Umri wake Keshakupiga Bao kubwa sanaaaaaa
   
 18. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wee ridwan njoo arusha kama hatuja kutahiri mzimzima!!!kadadadeki
   
 19. Tumaini Jipya

  Tumaini Jipya JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />  Hivi wewe Kiumbe Mwenye Ubongo Mzito na Usiye mzalendo,hiki Kiingereza "Presidential Material" kina maana gani!!
  I guess i have serious problems when it comes to semantics of some enigmatic writings!!

  By the way,Mara ya Mwisho lini Ridhiwan kukupumulia Mgongoni? Did U like It? I see,thats y u cn insult urself just so u cn justify ur boyfriend's Uncleanliness!
  Shame On U,U aint got NO PRIDE!!
   
 20. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Dawa yenu inachemka mark my word.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...