Binafsi siku ya mei day sikumwelewa rais alimaanisha kitu gani alipojumuika na wafanyakazi wenye njaa kuimba solidarity forever!!! pia sikuwaelewa wafanyakazi walipoimba solidarity forever na mtu aliyewaambia hata wadai mishahara kwa miaka minane hawatapata wanachotaka.
My Simulation:
Kikwete kimoyomoyo anaimba: Hatuongezi mishahara forevaaaaaa mzoee maumivu foreeee vaaaaaa....
Wafanyakazi kimoyomoyo wanaitikia: Tumekoma forevaaaaaaa tuhurumie foreeee vaaaaa....