Katika kosa ambalo ccm italijutia milele ni hili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika kosa ambalo ccm italijutia milele ni hili!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kingcobra, May 3, 2011.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Kwa hali ilivyo sasa ni wazi kuwa kuna ufa mkubwa kati ya watanganyika na wazanzibar. Kwa mtazamo wangu, kama kuna kosa ambalo ccm itakuja ilijutie milele ni kumweka mzanzibar kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano. Sijui kama kuna mtanganyika yeyote atakayempigia kura. Niwieni radhi wale wote mnaoamini kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado upo.

  ,
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0


  NAPE MNAUYE, JANUARY MAKAMBA NA WILSONI MUKAMA HEBU KAZUNGUKENI TENA MIKOANI NGWE YA PILI MKAWATANGAZIE WANANCHI KWA KAULI YA OPERESHENI CCM VUA GAMBA
  HAPO AWALI ILIKUA NI MZAHA TUUU!!!!


  Nauye na Mukama, hebu kaandikeni tena imprest ili mwende upya mzunguko wa pili mikoa yote kwenda kuwambia wananchi kwamba yale mliowambia hapo awali (Operesheni CCM kuvua Gamba RACHEL) kule kuvua gamba ndani ya siku 90 wala hamkuimanisha saaaaana vile kwani ilikua ni gia tu kwamba Sekretarieti Mpya CCM Mtoke Vipi vle, au sio???

  Msisahau kuwafahamisha wananchi ukweli wa mambo kwamba lile Gamba la CCM iliokusanyika kwa zaidi ya miaka 50 sasa wala haichuniki hata kwa panga hivyo mmeamua wenyew magamba sugu wenye wakajitilie wenyewe sahihi barua kwenda kwa MAFISADI ambao kimsingi mnasingiziwa tu wala hawapo kwani ni siku nyingi walishahamia katika nchi nyingine iitwayo KUSADIKIKA hivyo hapa Tanzania hawapo tena.

  Hebu fanyeni hima kidogo kabwa mambo hayajabumburuka zaidi. Waambieni pia kwa swala la kuboreshwa kwa Muungano watu walie tu!!!
   
 3. A

  Analytical Senior Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani tatizo si nuzanzibari, tatizo ni je huyo aliyesimamishwa ana qualities za kuwa Rais wa Tanzania? Mtu pekee mpaka sasa ambaye namwona alikuwa (ni) Tanzania presidential material kutoka Zanzibar alikuwa Salim A. Salim, lakini ndo hivyo tena siasa za maji taka zikamchakachua. Kwa sasa sioni, maana kuwa Rais si suala tu la kusimamishwa kugombea, tunahitaji records zako za nyumba, uthubutu na mikakati yako kwa Tanzania ijayo. Hizo enzi za kutuambia huyu ni mwenzetu, sijui mpole nk zimepitwa na wakati
   
 4. A

  Analytical Senior Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani tatizo si uzanzibari, tatizo ni je huyo aliyesimamishwa ana qualities za kuwa Rais wa Tanzania? Mtu pekee mpaka sasa ambaye namwona alikuwa (ni) Tanzania presidential material kutoka Zanzibar alikuwa Salim A. Salim, lakini ndo hivyo tena siasa za maji taka zikamchakachua. Kwa sasa sioni, maana kuwa Rais si suala tu la kusimamishwa kugombea, tunahitaji records zako za nyumba, uthubutu na mikakati yako kwa Tanzania ijayo. Hizo enzi za kutuambia huyu ni mwenzetu, sijui mpole nk zimepitwa na wakati
   
Loading...