Tetesi: Ufisadi Arusha.

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Wana jf baada ya ujenzi wa vyoo shule Suye kujengwa kwa 80,000,000/- kuna tetesi kwamba kuna daraja balo leshindwa kufunguliwa kutokana na mgogoro wa ujenzi wake kutumia sh. 300,000,000/- Hilo daraja liko Olorien ambako diwani ni meya wa manspaa ya Arusha wananchi wengi wanalalamika kwa kuchelewa kufunguliwa wanatembelewa mbali kufuata usafiri toka Mwanama hadi kituo cha mafuta barabara toka Moshono.
 
Hizi ni habari za kushtua na kusikitisha hasa kwa sisi wakazi wa Arusha. Tatizo la habari yako haina source wala any supporting data. Labda utuwekee hapa ndio tutachangia vzur
 
Heh, hii habari nasoma lakini sipati connection sawa sawa ya ujumbe uliomo. Ngoja nikapashe kwanza, nikurudi nitakuwa sawa kutoa comments zangu.
 
Hizi ni habari za kushtua na kusikitisha hasa kwa sisi wakazi wa Arusha. Tatizo la habari yako haina source wala any supporting data. Labda utuwekee hapa ndio tutachangia vzur

Hizo habari nimezipata kwa watu wa karibu na vyanzo hivo pia habari ya shule ya suye ilitoka kwenye vyombo vya habari fuatilia Kama zipo utapata .
 
Haya ndio madudu ambayo CCM ilikuwa inatak kuficha walipopigana kufa na kupona ili wapate Meya atakaye ficha huu uozo
 
Hizi habari zina ukweli,ziliripotiwa wiki iliyopita na gazeti la mwananchi na Tanzania daima,shule ya msingi suye meya mchakachuaji alijenga matundu 12 ya vioo kwa gharama ya mil 30 tenda aliyoipata kinyume cha sheria ya manunuzi ya umma.
Daraja ni kweli,kama wewe mkazi wa Arusha pita njia ya kwenda big sisters utaona
 
Back
Top Bottom