Kontena chachu ya maendeleo

Kontena chachu ya maendeleo

kapug

Member
Joined
May 31, 2010
Posts
39
Reaction score
6
Wadau,

Tukiwa na siku tatu tangu tusheherekee sikukuu ya wafanyakazi tanzania,siku ambayo kwangu nilizidi kukata tamaa kutokana na kauli ya rais wetu kwenye hotuba yake kutamka kuwa kufungua kontena ni chanzo kizuri cha ajira na akisisitiza kuzalisha mabaamedi,makuli na wapishi mimi kwa mtazamo wangu sikutarajia kauli kama hii itoke kwa rais wa nchi hivi wadau nyie mnaonaje?
 
Ndio nae wakontena anatifanya tufikie ajira tulizoahidi wewe vipi?
 
Ndio nae wakontena anatifanya tufikie ajira tulizoahidi wewe vipi?

Mtu kama rais lazima azungumzie ajira bora na si bora ajira na kwenye uchumi wa nchi je?wakontena huyuhuyu!
 
Uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo.........
 
Back
Top Bottom