Mbowe: Hatuungi mkono Ugaidi lakini pia hatuungi mkono matumizi ya nguvu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe: Hatuungi mkono Ugaidi lakini pia hatuungi mkono matumizi ya nguvu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SG8, May 3, 2011.

 1. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Mwenyekiti wa Chadema Mh.Freeman Mbowe amesema chama chake hakiungi mkono matumizi ya nguvu kupita kiasi wala hakiungi mkono ugaidi. Amesema hayo alipokuwa akisoma maazimio ya kamati kuu na baraza kuu lililokaa hivi karibuni ambalo pamoja na mambo mengine amezungumzia kuhusu kuuawawa kwa kiongozi wa kikundi cha Al-Qaeda Osama Bin Laden.
  Source- Channel 10
   
 2. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Vikao kila siku! Kilifanyikia wapi ?
   
 3. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Duh upo nchi gani wewe? au kwenu kuna mgao wa umeme? Huna taarifa kuwa Jumamosi kulikuwa na kikao cha kamati kuu na Jumapili kulikuwa na baraza kuu? Pole
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Yah hii ni pure politics anaogopa kusema ukweli ili........

  Sasa mtu kama Osama bila nguvu utamkamataje. Hii statment ni kutoamsha hasira za watu wenye mawazo finyu wanaodhani Osama anawakilisha kundi fulani
  .

  Chadema wangetakiwa wafanye hivi

  Wangemwambia Proffesosr A. safari asome ujumbe huu kwa nimba ya Chama kuwa

   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Huna data wewe mbona media ilikuwa wazi kuhusu vikao hivi?
   
 6. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  America inabidi sasa wa-reshape foreign policy yao kuhusu Terrorism wachukue moderate steps katika kuwakamata na kuwafanyia trial inapowezekana.terrorism ni mbaya and it pains.Hiyo mbinu iliyotumika ni kama rough death penalty,najua kuna watakaosema mbona yeye aliuwa maelfu.
  Many nations do not support the death penalty and thus it is less likely that one will hear individuals advocating the death penalty in those nations. I also think that a fair trial in the court of law would have been a better option if the opportunity was provided to arrest Bin Laden instead of killing him. Granted, maybe the circumstances of the fighting made it impossible for Bin Laden to be arrested in order for his crimes to be tried in the court of law. Yet, I would have loved to have watched Bin Laden being charged with crimes against humanity at the ICC.

  For terrorists, I much prefer that they face military tribunals, because I do not believe that the United States Constitutional Republic provides mandated rights to the very people who seek to destroy those rights and deny them to others.
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  A very tricky statement, much need to be answered!
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  kama wanataka wafanyiwe hilo kwanini wasijitokeza na kujipeleka mahakamani ili washtakiwe kwanini wasubiri kukamatwa?
   
 9. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Mkuu

  Kwanza kitendo cha kumkamata hai na kumuweka ndani Osama kwa ajili ya trial ndo ingeweka hali tata zaidi wa USA washirika wake na dunia. pata picha OSama anahojiwa mahakami anasema kundi fulani piganeni. Atleast sasa hivi tunajiuliza kama weli au sio weli kauwawa . CIA wamefanya analysisi zte na uona option nzuri na salama ni kumuua si kumkamata. yaani OSama kila mara ambapo angesimama mahakamai angezalisha extrimist zaidi ya 100 duniani ........

  Pili Mtu kama Osama sidhani kama kweli kwa roho aliyokuwa nayo alikubali kujisalimisha. So ungetaka wafanye nini?? Wakeshe wakimbembelza? Unapkuwa vitani ukakataa kujisalimisha inachofuata ni........


  But kama mwanasheria uko sawa na hayo mawazo ndo alikuwa nayo Obama .But once ukiwa kwenye Government kama Amiri jeshi mkuu unaweza kukuta unahitajika Kuwapoteza mafisadi and the likes of Osama kuliko kuwapeleka mahakamani ..........


  Tofauti ya Obama na na bush ni kuwa Oabama alimua kurisk kutumia special forces lakini ingekuwa G bush lilikuwa Bomu lidondoshwe eneo husika. So kama kweli Osama kauwawa Obama kaepuka kudhuru watu wengi zaidi.
  Na anastahili pongezi
   
 10. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Duh- rafiki yangu hukum-quote sahihi Mbowe hadi umesababisha post za mada hii kwenda kusiko. Tatizo lipo kwenye maneno hayo nimeonesha kwenye red. Alichosema ni kwamba chama chake hakiungi mkono matumizi ya nguvu yanayofanywa na nchi za magharibi kuingilia uhuru (na akataja sovereignty) ya nchi nyingine. Hakumaananisha kutumia nguvu kumkamata Osama la hasha -- hilo la kumkamata Osama kwa nguvu aliliafiki. Kwa kuwa clip haikuendeleza sana alichokisema, yumkini alikuwa ana maana ya uingiliaji wa nchi za magharaibi katika nchi kama Libya -- na bila shaka kama ilivyokuwa kwa Irak.

  Hata hivyo tungoje magazeti ya kesho, au kama kuna mtu ana statement ya Mbowe kamili kuhusu suala hilo atuambie.
   
 11. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Wajitokeze vipi? Wao ni terrorists wanaamini katka kufa wakiwa wanapambana,lakini america pia wasijisahau kwamba wao wamekuwa wakijipambanua kama watetezi wakuu wa haki za binadamu,Kama walikuwa na nafasi ya kumkamata ni bora wangefanya hivyo  Bush alimkamata Saddam akafanyiwa Trials.
  Nakubaliana na wewe kuhusu mhalifu akikataa kujisalimisha hukumu yake ni tofauti na aliyejislimisha.Ila kuhusu suala la kuzalisha extremists wengi zaidi ni kwamba kama Millitary tribunal ndo zitaendesha kesi tofauti na Republic Constitutional courts basi hilo haliwezi kutokea,kuna vitu kama media inaweza kudhibitiwa wakati kesi ikiwa inaendeshwa .mkuu umesahau ile Kesi ya Sadam?

  By the way usishangae akina Gingrich,Romney,Trump,Sarah Palin na au Huckabee wanaibuka na conspiracy kwamba Rais ali-direct an illegal asssassination au ali-mishandle ishu ya Osama.Tusubirie Tea-party waibuke na siasa zao,lol
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Vikao kila siku ni ishara zuri sanaa kwamba CHADEMA is a very serious political party, working tirelessly and values decision-making within the armpits of quality democratic principles!!!!!!!!!

   
 13. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wenzetu ndo mna zoza mambo ya "yuesiei" kwa zaidi.. hivi hao akina gingrich, romney, trump, sarah palin na au huckabee ndo nani? sisi wenzenu tunajua makamanda freeman mbowe, Dk. slaa, godbless lema, na ile geugeu zitto, shibuda, bila kusahau mdee, regia mtema nk, hawa ndo wanatija kwetu watanganyika lakini hao wengine uliotutajia ni longolongo tu.

  Tukirudi kwenye hoja, nadhani ni vizuri kama mtu anainterest na hii habari basi afuatilie ukweli kwa kusoma magazetini, internet, tv, kusikiliza interviews za watu waliohusika na tukio nk. kwa namna hiyo mtu utakuwa na uelewa wa kile unachokiongelea kuliko kulishana pumba na longolongo nyiingi za kiswahili na kibongobongo.

  Hizi major international events siyo kama mechi za simba na yanga. Please get your information from professionals and the experts! Sasa ukipata hiyo information basi unaweza kutumegea na sisi ukiquote source yake.
   
 14. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #14
  May 3, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Interesting Indeed!

  Hatuwezi kuishi kama chura ndani ya bwawa la maji na kudhani ati bwawa hilo ndiyo dunia nzima.Hivi ni kitu gani kinamfanya mtu Ashindwe kufuatlia thread kuanzia mwanzo hadi mwisho kabla ya kutoa comments za kulalama?Hiyo comment nilikuwa namjibu Zing hapo juu,wewe waweza kuiruka tu mkuu! Haina tija kabisa Kwako,na sikatai

  Kuhusu suala kusubiria utafuniwe tu nalo linashangaza,kwa nini usitafute mwenyewe kama kitu kina tija kwako?Lala salama mkuu,post zisizo na tija kwako zipige chini tu ama?Subiri tuanze kujadili Gongo la mboto,kilimo kwanza na mradi wa malaria au mabasi yaendayo kasi
   
 15. m

  mkuki moyoni Senior Member

  #15
  May 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahaaaaaaaaa, niliwahi kumsikia kijana wa chadema akisema kuwa, watanzania wana uwezo wa kukesha na kusoma hadithi za shi...ngo,kuliko kusoma hata kurasa mbili za makala ya mambo ya nchi.....au kusoma hata kitabu cha dini.
  Sasa huyu anayeshangaa majina ya watu wa kawida na maarufu kama gingrich na sarah, yeye anawajua akina lema na regia tu hahahahaaaa,huyu bwana nadhani aende ukurasa wa mapenzi na mahusiano tu.
   
 16. k

  kimwaga Member

  #16
  May 3, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni usanii ili wajinga wasijue sio kweli kabisaaaaaaaa it's well arranged ili kuhadaa ulimwengu obama kachemsha huo ni ujanja wa kupata kura baada ya kuanguka kwenye midterm election tunataka picha ya osama akiwa mfu sio usanii wa kuweka passport size na kuuhadaa ulimwengu,saddam,udei na qusei waliweka picha cnn,bbc,aljazeera wakapiga hata za mazishi wakapiga tukaona,iweje za osama hakuna kazikwa shuta shuta fasta fasta hapo mwerevu ajue mjinga akubali
   
 17. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Kwani ukifutilia habari za wataalam huruhusiwi

  • kutoa mawazo yako huru.
  • kutafsiri maana ya ya yale uliyosikia wakiongea.
  And who are those proffesional according to you? Wewe hujiamni unaweza kuwa proffesional. Kama huna info meza unachopewa kama una info tofauti toa views zako.

  Hatuko kanisani au msikitini hapa eti proffesional aseme tukubali au tukatae tu.

  Nini maana ya forum sasa? N a dunia ya sasa ni kama kijiji unahitaji kujua kinachendela sehemu mbali mbali ya dunia na ni vipi kinaweza kutuathiri au kutufaidisha Tanzania.
   
 18. ADAM MILLINGA

  ADAM MILLINGA Senior Member

  #18
  May 4, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ubaya nikuwa mnajifanya mnajua historia za watu mada nyingne unaunga mkono kwa mtu kutajataja majna
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  May 4, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Wajitokeze kujipeleka kwenye mahakama ya nani?
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  May 4, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Ya Wamarekani; NN mara ngapi tumesikia watu wamejisalimisha kwa vyombo vya dola au wameenda kumpata Mwanasheria ndio wakajipeleka wenyewe Polisi to face the music? Hawa jamaa kama kweli walikuwa wanataka watendewe haki na kufikishwa mahakamani ndio nasema wangetafuta mwanasheria na huyo mwanasheria angesema "Osama has agreed to surrender" sidhani kama SEAL Team Six wangetumwa!!
   
Loading...