Kwani Viongozi Wenye Akili Nzuri wako CCM Pekee? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwani Viongozi Wenye Akili Nzuri wako CCM Pekee?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by IsangulaKG, May 3, 2011.

 1. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Juzi nilitembelea Dodoma na Bahati nzuri nikbahatika Kukutana na Mafundi Mitambo ya Umeme Na Sauti wa Bunge...Nilistuka nilipoambia ati Siku ile Tundu Lisu anaongelea Watawala Kuingilia Uhuru wa Mahakama,Kiongozi Mmoja wa CCM aliwafuata Mafundi Baadae nba Kuwapa Onyo Kali kwamba Walitakiwa Kukata Sauti na Umeme wakati 'Kiongozi wa Upinzani akiongea" na Wakapewa Onyo kuwa Siku nyingine wakifanya Kosa 'Watakiona''.
  Hapa na pata Maswali kuwa Hivi Viongozi wa CCM pekee ndiyo wana HOJA Nzuri? Ndiyo wenye Akili za Kufikiri Peke yao?
   
 2. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bunge ni taasisi nyeti, tuletee ushahidi badala ya kubwabwaja
   
 3. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kama ni kweli basi umeongea kimgeuzo. kuwa wabunge wa CCM hawana akili au?
   
 4. Silas Haki

  Silas Haki JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Akili gani hizo za kuwaamru mafundi wakate umeme, mbona zinafanana na matope?
   
 5. m

  mkulimamwema Senior Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani kakwambia CCM wanaakili hebu fikiria mwenyekiti wao anaulizwa BBC kwanini TANZANIA ni masikini anajibu eti HAJUI,Membe naye ati kwa sababu tulipigana vita nyingi kuzikomboa nchi za Afrika kupata uhuru na Mkapa naye ati kwa sababu ya ukoloni.Miaka 50 baada ya ukoloni unasema ndio chanzo cha umasikini kama wana akili kwa nini wanakimbia midahalo MBONA RWANDA WAMETOKA VITANI LEO MIAKA 17 WAMETUZIDI yaani wanakera hawa"KAMA KWELI KUNA KIONGOZI WA CCM MWENYE AKILI HATA MMOJA MTAJE TUKWAMBIE UJINGA WAKE"
   
 6. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Did You Read The Heading of the Post? 'Tetesi' ...You Dont need Ushahidi in Tetesi
   
 7. m

  mkulimamwema Senior Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rafiki usilete tetesi kesho utaleta uvumi wana jamii tunafanyia kazi taarifa rasmi(facts) tupo kazini kuelimisha umma aiseeeee weweeee,,,,,,,, usijali lakini
   
 8. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  someni hoja ya Mtulutumbi mpaka mwisho ndiyo mchangie. Anajiliza je kuwambia mafudi wakate mitambo, Lisu akiongea ndo kusema anachoongea ni pumba? Ila akiongea wa chama cha magamba ni mchele wasikate mitambo!!!

  Nadhani mtoa hoja anautani na wanamagamba wazee wakuunga mkono hoja 100/100.
   
 9. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  Ni tetesi kwa maana ya Kwamba hakuna Writen Evidence lakini Ukizxingatia UKWELI...huu Siyo Uongo ni Ukweli Kabisa kwani ni taarifa zinazoweza Kuthibitishwa na Mafundi Mitambo wa Bunge
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Heading ya mwanahalisi kesho ' JF yageuka kijiwe, yapoteza mwelekeo. Wanachama wake wakosa hoja, wajadili mambo ya tetesi'
   
 11. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  tunashukuru kwa post lakini ni vema ungeweka mawazo yako uzuri ili ueleweke pia kama waliweza kukukuza hao matechnician kwanini wasinge kupa na jina la huyo jamaa wa ccm tumdiscus hapa asirudie tena'?
   
 12. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  CCM kwa hali waliyonayo sasa hivi ninaamini wanaweza kufanya hivyo. Wao wamezoea kuficha ficha kila kitu kama mtu mchoyo na ndio maana vijana tusipokuwa wakali na kubadilisha huu upepo uliopo, hii Tanzania yetu tunayoipenda kuliko CCM haitaendelea, CCM wataendelea kutuletea zidumu fikra za mwenyekiti wakati zimshadumu miaka 50. Kila kitu cha wananchi watasema ni vya kwao na sio ajabu bunge linapo kwisha kila mbunge wa CCM anaondoka na kitu kimoja kupeleka nyumbani kwao na asubuhi vinafungwa tena. Mmoja anaondoka na maic-, mwingine speaker, mwingine waya nk. Lengo ni ili Makamanda wasitumie eti mali za CCM. Na ndio maana tunapiga vita ubinafsi na kurithishana mali za serikali. We ukiona mpaka vijana wa CCM wanapigania viwanja huko moshi ambavyo ni mali ya wananchi mnatambua hapo kuna nini? Inamaana walisha achiwa uridhi sisi tunarithi umasikini wa baba zetu. Vijana tunasema ni afadhali kurithi umasikini tuikomboe TZ yetu kuliko kurithi T-Shirt, kofia, kanga na scaff zenye nembo ya kijiko na umma. :israel:
   
 13. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Kwani ni lini ILIKUWA NAOJA?
  au ndio nia yenu ya kuja kumwaga upupu humu ili JF ionekane ni KIJIWE?
  Waje basi watukamate huku JF tunavuta unga, bange na madawa yote ya kulevya pia ni Kijiwe cha wazururaji!
  Kazi mliyo tumwa hamuiwezi MTACHEMKA TU!,
  Alikuwepo MALARIASUGU yupo wapi sasa? Chali........
   
 14. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Upumbavu wa viongozi wa ccm ni mwingi na umesambaa kila kona kweli hiki chama ni cha kufutilia mbali na viongozi wao wapandishwe kizimbani
   
 15. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #15
  May 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ndugu Mtulutumbi!! Jina lako linanikuna kweli natamani nijue maana yake!! Nadhani unachoongea siyo tetesi ila umepata taarifa hizo toka kwaa wahusika wenyewe. Tetesi ni maneno ambayo yanasikika toka kwa third party lakini wewe umeyapata kwa wahusika wenyewe sasa inakuwaje tetesi au uliyapata kwa njia ya utulutumbi?
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  May 3, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kwa jinsi mambo yanavyokwenda humu naona tutafikia huko!! Watu hawatoi hoja, wakiulizwa hoja hwajibu zaidi zaidi wanasema mtu umetumwa sasa sijui thinking ya humu iko wapi? Tetesi zimekuwa nyingi, uongo na thread za kutunga tu ambazo hazina ushahidi au mantiki ili mradi basi mtu amepost!
   
 17. z

  zamlock JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kwa wakurya mtulutumbi ni mchawi
   
Loading...