huyu ndiye mhe LEMA JE ANAFAA KUWA KIONGOZI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

huyu ndiye mhe LEMA JE ANAFAA KUWA KIONGOZI?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwanaone, May 3, 2011.

 1. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  ndugu zangu ktk jambo ninaloshukuru ktk maisha yangu ni kutokuwahi kuwa CCM, siko zote ktk kipindi hiki kifupi nichobakisha ktk maisha YANGU namuomba Mungu anipe umri nitakaoweza kushuhudia anguko la CCM.Tangu zilipoanza siasa za vyama vingi nilikuwa natamani WATANGANYIKA tuwe kama WAZANZIBAR ndugu zetu wa visiwani walinifurahisha sana zilipoanza SIASA ZA VYAMA VINGI walifunguka mapema na kuona ni wakati muafaka wa KUIANGUSHA CCM japo mpaka leo wameshindwa kutokana na WIZI WA CCM. JAPO HIVI SASA NAFURAHI WATANGANYIKA TUMEAMKA ZAIDI YA WAZANZIBAR NA NAAMINI 2015 CCM WATAKUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI.NA CHADEMA KITAKUWA CHAMA TAWALA.

  Lakini ndugu nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana MAWAZIRI wetu watarajiwa kwenye SERIKALI MPYA ya CHADEMA hapo 2015 lakini huyu WAZIRI WETU mtarajiwa wa MAMBO YA NDANI mheshimiwa LEMA nahisi ana walakini. kwangu kiongozi shupavu ni yule;

  1: mwenye hekima
  2:mwenye busara
  3:mwenye kufikiria kabla ya kuzungumza au kutenda
  4: na jasiri
  ninaposema kiongozi jasiri simaanishi yule ambaye yuko tayari kupigana wakati wowote au kutukana wakati wowote kwangu mimi kiongozi JASIRI ni yule ambaye ana uwezo wa kudhibiti HASIRA ZAKE.
  5: mwenye kuona mbali
  6:mwenye kuwaheshimu viongozi wenzake
  7:asiye na majivuno ya kuona yy pekee ndio mwenye uchungu wa nchi hii

  ktk sifa zote nilizoorozesha hapo kwangu mimi nahisi na naamini ndio kiongozi bora anatakiwa kuwa nazo lkn nina hofu itakuwaje siku mhe LEMA AKIWA NDIO RAIS WA NCHI HII AU WAZIRI MKUU WA NCHII AU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HII AU WAZIRI WA ULINZI WA NCHIIA ETC
  ndugu zangu nina mashaka nae na ikiwa kama raia mwema na mpiganaji wa jeshi la wanyonge wa nchi wenye kutaka maendeleo kwa njia ya AMANI nahisi mhe LEMA inabidi apunguze HASIRA, JAZBA, KUJIFANYA YYE PEKEE MWENYE UCHUNGU, PIA AWE MWENYE KUFIKIRIA KABLA HAJAONGEA AU AJITAHIDI KUUSHIRIKISHA UBONGO WAKE KTK MAAMUZI YAKE IKIWA HASWA YY NI KIONGOZI PIA NI KIOO CHA JAMII.
  mheshimiwa LEMA amekuwa mara kwa mara akitaka kutumia MABAVU au amekuwa akiwashutumu au kutumia lugha mbovu dhidi ya viongozi wenzake especially kwA MHE ZITTO. NA HIVI KARIBUNI AMEKARIRIWA AKISEMA MILANGO IFUNGWE ILI WABUNGE WAPIGANE HII NI KUONYESHA LEMA SIO JASIRI, HANA HEKiMA, HANA UVUMILIVU. NAOGOPA SANA AKIWA YY NI RAISI ANAWEZA KUTUUINGIZA KTK MIGOGORO MINGI DUNIANI ,
  mheshimiwa ajue siasa si uwanja wa FUJO siasa tunaka hoja na kuvumilana. na sio saa zote kuwashutumu wenzake kuwa ni wanatumiwa na kama ana ushahidi autoe ili wachukuliwe hatua stahiki sio kuleta shutuma zisizokuwa na msingi na umaarufu anaotaka wa fujo utamtokea puani. nadhani mhe LEMA utaisoma habari na utanielewa. mimi ni mfuasi mahiri wa CHADEMA NA NIMESHINDWA UVUMILIVU WA HIZI KAULI ZAKO. IKIWA KUNA POPOTE NIMEKOSEA UTANISAMEHE USIJE UKASEMA UTANITAFUTA ILI UNIPIGE KAMA ULIVYOTAKA KUWAPIGA WABUNGE WA CCM BUNGENI.
   
 2. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mbona ni pumba tu ndugu yangu hii inatia huruma!. Hayo ni mambo ya ubinafsi na si yaki tendaji au yanayosaidia nchi. Pumba za ng'ombe ndugu
   
 3. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  usiwe shabiki manadazi, sema lipi nililoongea pumba. oanisha sentensi,
   
 4. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wewe wasema!!!!!
   
 5. jambo1

  jambo1 JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeshaanza Majungu..!
  Wenzako tunajadili gamba na utajiri wa Riz1 wewe unajadili kuhusu watetezi wa wanyonge...!Kaazi kweli kweli..!:israel:
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Pambaffffffffffffff!
  Watu wa dizaini ya Lema ndio wanaohitajika kwenye Bunge la sasa la mazuzu wanaounga mkono kila hoja, na spika aliyenunuliwa!
   
 7. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  tunahitaji CCM watoke hata kesho lkn tatizo la LEMA yeye kila kitu anajifanya yuko sahihi na ndugu kiongozi asiye na busara siku zote muogope kuliko unavyoogopa ukimwi. na iwapo MH LEMA ataendelea na mwenendo hatofanikiwa. yy kila siku ni mtu wa kushutumu wenzake pale anapoona wamepinga anachokipenda yeye. kwa ufupi hana busara wa hekima.
   
 8. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  tukijadili wenzetu lazima na sisi tuwe wasafi sisi wananchi ndio wakuwaosoa viongozi wetu na mimi natumia haki yangu ya kidemokrasia ya kumrekebisha kiongozi wangu pale ninapoona anaenda mwenendo ambao haunifurahishi.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Unashirikisha ubongo ama udongo? Usiwe unaandika pumba bin crap page mingi unaboa na kukera. Tunahitaji akina Lema wengi na wajinga wajinga kama wewe msiwepo
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  nOTED Bwana MS!
  aka kupeng'e
  aka JK waukweli
   
 11. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  wewe ndio unaoongoza kwa kutoushirikisha ubongo wako klamwe sitomuunga mkono kiongozi asiye na busara. WEWE TUKANA LKN UKWELI UKO MBIONI KUWAINGIA KUWA LEMA SIO KIONGOZI BORA HAFAI KUWA KIONGOZI. ANACHOTAKA NI UMAARUFU.
   
 12. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  Sifikirii kama lema huwa anashirikisha ubongo wake ktk maamuzi,
  ndugu zangu ktk jambo ninaloshukuru ktk maisha yangu ni kutokuwahi kuwa CCM, siko zote ktk kipindi hiki kifupi nichobakisha ktk maisha YANGU namuomba Mungu anipe umri nitakaoweza kushuhudia anguko la CCM.Tangu zilipoanza siasa za vyama vingi nilikuwa natamani WATANGANYIKA tuwe kama WAZANZIBAR ndugu zetu wa visiwani walinifurahisha sana zilipoanza SIASA ZA VYAMA VINGI walifunguka mapema na kuona ni wakati muafaka wa KUIANGUSHA CCM japo mpaka leo wameshindwa kutokana na WIZI WA CCM. JAPO HIVI SASA NAFURAHI WATANGANYIKA TUMEAMKA ZAIDI YA WAZANZIBAR NA NAAMINI 2015 CCM WATAKUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI.NA CHADEMA KITAKUWA CHAMA TAWALA.

  Lakini ndugu nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana MAWAZIRI wetu watarajiwa kwenye SERIKALI MPYA ya CHADEMA hapo 2015 lakini huyu WAZIRI WETU mtarajiwa wa MAMBO YA NDANI mheshimiwa LEMA nahisi ana walakini. kwangu kiongozi shupavu ni yule;

  1: mwenye hekima
  2:mwenye busara
  3:mwenye kufikiria kabla ya kuzungumza au kutenda
  4: na jasiri
  ninaposema kiongozi jasiri simaanishi yule ambaye yuko tayari kupigana wakati wowote au kutukana wakati wowote kwangu mimi kiongozi JASIRI ni yule ambaye ana uwezo wa kudhibiti HASIRA ZAKE.
  5: mwenye kuona mbali
  6:mwenye kuwaheshimu viongozi wenzake
  7:asiye na majivuno ya kuona yy pekee ndio mwenye uchungu wa nchi hii

  ktk sifa zote nilizoorozesha hapo kwangu mimi nahisi na naamini ndio kiongozi bora anatakiwa kuwa nazo lkn nina hofu itakuwaje siku mhe LEMA AKIWA NDIO RAIS WA NCHI HII AU WAZIRI MKUU WA NCHII AU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HII AU WAZIRI WA ULINZI WA NCHIIA ETC
  ndugu zangu nina mashaka nae na ikiwa kama raia mwema na mpiganaji wa jeshi la wanyonge wa nchi wenye kutaka maendeleo kwa njia ya AMANI nahisi mhe LEMA inabidi apunguze HASIRA, JAZBA, KUJIFANYA YYE PEKEE MWENYE UCHUNGU, PIA AWE MWENYE KUFIKIRIA KABLA HAJAONGEA AU AJITAHIDI KUUSHIRIKISHA UBONGO WAKE KTK MAAMUZI YAKE IKIWA HASWA YY NI KIONGOZI PIA NI KIOO CHA JAMII.
  mheshimiwa LEMA amekuwa mara kwa mara akitaka kutumia MABAVU au amekuwa akiwashutumu au kutumia lugha mbovu dhidi ya viongozi wenzake especially kwA MHE ZITTO. NA HIVI KARIBUNI AMEKARIRIWA AKISEMA MILANGO IFUNGWE ILI WABUNGE WAPIGANE HII NI KUONYESHA LEMA SIO JASIRI, HANA HEKiMA, HANA UVUMILIVU. NAOGOPA SANA AKIWA YY NI RAISI ANAWEZA KUTUUINGIZA KTK MIGOGORO MINGI DUNIANI ,
  mheshimiwa ajue siasa si uwanja wa FUJO siasa tunaka hoja na kuvumilana. na sio saa zote kuwashutumu wenzake kuwa ni wanatumiwa na kama ana ushahidi autoe ili wachukuliwe hatua stahiki sio kuleta shutuma zisizokuwa na msingi na umaarufu anaotaka wa fujo utamtokea puani. nadhani mhe LEMA utaisoma habari na utanielewa. mimi ni mfuasi mahiri wa CHADEMA NA NIMESHINDWA UVUMILIVU WA HIZI KAULI ZAKO. IKIWA KUNA POPOTE NIMEKOSEA UTANISAMEHE USIJE UKASEMA UTANITAFUTA ILI UNIPIGE KAMA ULIVYOTAKA KUWAPIGA WABUNGE WA CCM BUNGENI.
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wahi Mirembe wenzako Wapo huko.
   
 14. Elly B

  Elly B JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 1,194
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sifurahii wabunge wetu kutaka kuzichapa mjengoni! Ila pia hakuna kifungu cha sheria zozote Kubwa wala ndogo wala kanuni za bunge zinazoruhusu kuzomea bungeni(kama zipo nielimishwe).Sasa pale inapokuwa kuna mbunge anatoa hoja ambazo ni za msingi kabisa na kuna mwingine anazomea,hii ni dharau.Nasikitika ni tabia ya wazi iliyoasisiwa na CCM na inaendelezwa.Inakera. Mie syo mwanaCDM wala siko CCM! Ila naamini kila binadamu hata awe na hekima kama za Suleimani,awe mvumilivu kama punda kihongwe,awe jasiri kama simba, bado ana mwisho wa kubeba kero! Simlaumu Lema kwa hilo namlaumu spika anayejisikia kuwa mwalimu wa chekechea fulani! (Nadhani hii ndiyo wanawake wanaweza yenyewe) na wakiendelea kuweza hivi iko siku hii nchi italala makorongoni.

  Hebu tusiangalie hapa tunapoangukia kwani hapa hakuna tatizo haswa.Tulitakiwa kushangaa tangu ilipolazimishwa Mh.Makinda kuwa spika.Ukiacha uzoefu na elimu bado wanaomjua walitakiwa waelewe ni mtu mwenye jazba za haraka na mwenye maamuzi yasiyofikiriwa kwa kina,kitu ambacho ni hatari kwenye sehemu nyeti kama bunge.

  Tulitakiwa tupinge kwa nguvu zote hii tabia ya kuzomea tangu ilipoanza.Kila mbunge ni mwakilishi wa wananchi wa Tanzania wenye haki sawa na wengine wowote.Kwa hiyo under no circumtances kuna mbunge;regardless ametoka wapi anapata haki ya kumzomea mwakilishi wa wananchi wengine.Ni utovu wa adabu kwa mwakilishi huyo na wananchi wake waliomwona anafaa wakamchagua.

  SO pale ambapo sheria,kanuni na taratibu hazifuatwi,huwa heshima haipo.Na heshima inatoweka kwa sababu tu kuna wabunge wanaojidanganya kuwa wao ni superiors,kitu ambacho kikatiba kwa dhana ya haki na usawa hakipo. Sasa pale usawa unapotishiwa kutoweka ni lazima kifanyike kitu kitakachourejesha. Kutokana na misingi kuwa USAWA HAUOMBWI mi nafikiri mtu anapoamua kufanya "what it takes" kurejesha usawa siyo mbaya sana kwani ilianza kuwa mbaya pale usawa ulipoondoshwa bila kuzingatia haki za wote.

  Nimalizie kwa kunukuu maneno ya jaji fulani hapa majuzi kuwa "PALE AMBAPO HAKI NA USAWA VIMEKUWA HAVISIKIKI;VIMESIKIKA RISASI NA MABOMU"

  Sheria ziwe za wote ili iwe kweli ni kama msumeno!
   
 15. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  siku zote ukishindana na chizi na wewe utaonekana chizi.
  Kwahiyo nahisi mwenzangu una matatizo usijali mungu atakusaidia.
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jitoe gamba la kwenye ubongo!
   
 17. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  Sifikirii kama Lema huwa anashirikisha ubongo wake ktk maamuzi.

  Ndugu zangu ktk jambo ninaloshukuru ktk maisha yangu ni kutokuwahi kuwa CCM, siku zote ktk kipindi hiki kifupi nichobakisha ktk maisha yangu namuomba Mungu anipe umri nitakaoweza kushuhudia anguko la CCM.

  Tangu zilipoanza siasa za vyama vingi nilikuwa natamani WATANGANYIKA tuwe kama WAZANZIBAR ndugu zetu wa visiwani walinifurahisha sana zilipoanza SIASA ZA VYAMA VINGI walifunguka mapema na kuona ni wakati muafaka wa KUIANGUSHA CCM japo mpaka leo wameshindwa kutokana na WIZI WA CCM.

  JAPO HIVI SASA NAFURAHI WATANGANYIKA TUMEAMKA ZAIDI YA WAZANZIBAR NA NAAMINI 2015 CCM WATAKUWA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI. NA CHADEMA KITAKUWA CHAMA TAWALA.

  Lakini ndugu nimekuwa nikiwafuatilia kwa karibu sana MAWAZIRI wetu watarajiwa kwenye SERIKALI MPYA ya CHADEMA hapo 2015. Huyu waziri wetu mtarajiwa wa MAMBO YA NDANI mheshimiwa LEMA nahisi ana walakini.

  Kwangu kiongozi shupavu ni yule;

  1: mwenye hekima
  2:mwenye busara
  3:mwenye kufikiria kabla ya kuzungumza au kutenda
  4: na jasiri

  Nina posema kiongozi jasiri simaanishi yule ambaye yuko tayari kupigana wakati wowote au kutukana wakati wowote kwangu mimi kiongozi JASIRI ni yule ambaye ana uwezo wa kudhibiti HASIRA ZAKE.

  5: mwenye kuona mbali
  6:mwenye kuwaheshimu viongozi wenzake
  7:asiye na majivuno ya kuona yy pekee ndio mwenye uchungu wa nchi hii

  Ktk sifa zote nilizoorozesha hapo kwangu mimi nahisi na naamini ndio kiongozi bora anatakiwa kuwa nazo lkn nina hofu itakuwaje siku mhe LEMA AKIWA NDIO RAIS WA NCHI HII AU WAZIRI MKUU WA NCHI, AU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHI HII AU WAZIRI WA ULINZI WA NCHI ETC

  Ndugu zangu nina mashaka nae na ikiwa kama raia mwema na mpiganaji wa jeshi la wanyonge wa nchi wenye kutaka maendeleo kwa njia ya AMANI nahisi mhe LEMA inabidi apunguze HASIRA, JAZBA, KUJIFANYA YEYE PEKEE MWENYE UCHUNGU, PIA AWE MWENYE KUFIKIRIA KABLA HAJAONGEA AU AJITAHIDI KUUSHIRIKISHA UBONGO WAKE KTK MAAMUZI YAKE IKIWA HASWA YY
  NI KIONGOZI PIA NI KIOO CHA JAMII.

  Mheshimiwa LEMA amekuwa mara kwa mara akitaka kutumia MABAVU au amekuwa akiwashutumu au kutumia lugha mbovu dhidi ya viongozi wenzake especially kwa MHE ZITTO.

  NA HIVI KARIBUNI AMEKARIRIWA AKISEMA MILANGO IFUNGWE ILI WABUNGE WAPIGANE HII NI KUONYESHA LEMA SIO JASIRI, HANA HEKIMA, HANA UVUMILIVU. N

  AOGOPA SANA AKIWA YY NI RAISI ANAWEZA KUTUUINGIZA KTK MIGOGORO MINGI DUNIANI.

  Mheshimiwa ajue siasa si uwanja wa FUJO siasa tunaka hoja na kuvumilana, na sio saa zote kuwashutumu wenzake kuwa ni wanatumiwa na kama ana ushahidi autoe ili wachukuliwe hatua stahiki sio kuleta shutuma zisizokuwa na msingi na umaarufu anaotaka wa fujo utamtokea puani.

  Nadhani mhe LEMA utaisoma habari na utanielewa, mimi ni mfuasi mahiri wa CHADEMA NA NIMESHINDWA UVUMILIVU WA HIZI KAULI ZAKO.

  IKIWA KUNA POPOTE NIMEKOSEA UTANISAMEHE USIJE UKASEMA UTANITAFUTA ILI UNIPIGE KAMA ULIVYOTAKA KUWAPIGA WABUNGE WA CCM BUNGENI.
   
 18. mwanaone

  mwanaone JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 635
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 180
  wewe ndio unayetakiwa ujito gamba la macho, masikio, na gamba la ujinga la kutetea watu ambao akili zao zinawatosha wenyewe. hatuwezi kuendelea kuwatetea viongozi wanaotaka kutupeleka vile wanavyotaka wao na kila siku kuwashutumu wenzao. ni kweli tunataka mabadiliko lkn mabadiliko ya kweli hayataletwa na LEMA. tukimfatisha lema ni kujiingiza ktk matatizo. lema haushirikishi kabisa ubongo wake ktk maamuzi yake huo ndio ukweli. ni muda tu tangua aingie bunge au aupate ubunge amekuwa kazi yake kuwashambulia viongozi wenzake wa CHADEMA ili aonekane yy pekee ndiye mwenye uchungu WA NCHII. MIMI SIO BENDERA BWANA KWENYE LAZIMA NISEME LEMA SIO KIONGOZI SAHIHI KAMA HATAREKEBISHA MWENENDO WAKE,.
   
 19. T

  TwendeSasa Senior Member

  #19
  May 3, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mimi Nampenda sanj Lema kwa sababu Si mnafiki..pole Kwa Majungu ndugu
   
 20. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  ukifuatilia historia yake utakuta alikuwa jambazi, matajiri wa arusha sina hamu nao!
   
Loading...