Sitaki kuidhulumu nchi yangu, kamwe sitojiunga na CHADEMA chini ya uongozi huu

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
HUKU MWANAKIJIJI, KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa.
Gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kupambana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea?

Lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. Msimamo huu unanifanya nikichukie Chadema huku viongozi wake wakikaa kimya.

Linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina EL,RA na wengine ambao tayari CDM wanaona ni hatari kwa taifa letu.

Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa CDM kuhusu ufisadi ni kiini macho tu. Sina haja ya kujiunga na CDM hii chini ya mwenyekiti Mbowe, katibu Slaa, naibu Zitto.

SITOJIUNGA NA CHADEMA NA KUINGAMIZA NCHI YANGU
 
makamba alishawahi kusema kuwa WANAOONA CCM HAIFAI WAONDOKE! NA wewe mkuu hujaitwa cdm!
 
hii ni hatari ikiwa kibanda anatumia kalamu yake vibaya huku cdm ya mbowe ikikenga meno na kucheklea, sitaki kuona tz ikikkupmbwa na vita kwa sababu ya wachache
 
Kama CDM inatetea watu hatari kwa nchi kama EL,AC na RA kwanini sasa chama chako cha ccm kimekumbatia watu hatari kwa nchi ambao ni wezi wa rasilimali za nchi?
 
HUKU MWANAKIJIJI,KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa
gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kumbana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea? lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. msimamo huu unanifanya nikichukie Chadema huku viongozi wake wakikaa kimya
linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina EL,RA na wengine ambao tayari CDM wanaona ni hatari kwa taifa letu.
Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa CDM kuhusu ufiadi ni kiini macho tu. sina haja ya kujiuna na CDM Hii chini ya mwenyekiti mbowe, katibu slaa, naibu Zito.
SITOJIUNGA NA CHADEMA NA KUINGAMIZA NCHI YANGU
Huna Sababu za Msingi na Hata wana CDM tunakuchukia sana Hujui tu ..fisadi toka lini akapenda Misingi ya Kupambana na Mafisadi? Baki huko Huko usitie guu CDM!
When You SAY you hate Something......That SOMETHING HATES YOU more than You Do!
 
:israel:
MI NAZANI HUJUI JUKUMU LAKO KATIKA TAIFA, WEWE SIO MTU WAKUSUBIRI MAMBO YAFANYIKE NDIO UJIUNGE NA CHAMA, INABIDI UTOE MAONI YAKO NINI KIFANYIKE CHAMA KISIMAME, UKIJIUNGA KWAKU ANGALIA NANI MSAFI UTAYUMBISHWA PENDA CHAMA CHAKO WEWE NDIO UWE CHACHU YA MABADILIKO, KAMA USIKILIZWE NA UPEWI NAFASI TAFUTA CHAMA UNACHO ONA UTAPATA NAFASI YA KUONGEA VYAMA KAMA NCCR, UDP, JAHAZI ASILIA, VINAITAJI VIJANA KAMA NYIE, SIO LAZIMA CCM AU CHADEMA, MIMI NA SUPPORT HARAKATI ZA CHADEMA, KUWAPA NAFASI ZAIDI VIJANA KUPIGANIA MASILAHI YAO, NAKUIPENDA INCHI YAO, BILA MALIPO. USIPO KUWA NA MSIMAMO WA JANJA WATAKUTUMIA VIBAYA. KUWA SEHEMU YA MABADILIKO.
 
Kipi kilicho hatari kwako kati ya chama kilichowalea na kinaendelea kuwalea hadi leo au chama unachohisi kinawatetea kupitia gazeti.
 
Huitajiki cdm wewe unajipa moyo ukidhani watakuja kukubembeleza!
Inawezekana uliomba uanachama wakakukatria weweee!
Watu wakijiunga na cha fulani ndo huwa wanatangaza kujiunga kwao na chama hicho.
Sasa wewe unatutangazia hautojiunga na cdm uliombwa ujiunge? Tuambie!

HUKU MWANAKIJIJI,KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa
gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kumbana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea? lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. msimamo huu unanifanya nikichukie Chadema huku viongozi wake wakikaa kimya
linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina EL,RA na wengine ambao tayari CDM wanaona ni hatari kwa taifa letu.
Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa CDM kuhusu ufiadi ni kiini macho tu. sina haja ya kujiuna na CDM Hii chini ya mwenyekiti mbowe, katibu slaa, naibu Zito.
SITOJIUNGA NA CHADEMA NA KUINGAMIZA NCHI YANGU
 
pole sana kama hadi leo hauna msimamo CDM sio Mbowe wala Dr.Slaa we endelea na Gamba lako la Kobe wenzako tukiwa sehemu ya mabadiliko pamoja na Nguvu ya umma sijui wajukuu zako utawahadithia nini?
 
Kweli wewe mzee wa hoja,umekubali mzee mzma kutumwa na watoto kuleta hoja zako mbovu,na utatumikishwa weeeh! Na watoto,
wenzako waliokutuma wameshakuja hapa wakanyanyua mikono,na wewe kwa kimbelembele chako cha kuzeeka vbaya unakuja,sasa basi rudi kawaambie moto wa kutaka mapinduzi ya kweli ndio unazidi kuwaka.
 
HUKU MWANAKIJIJI,KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa
gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kumbana na mafisadi linakuwa mstari wa mbele kuwatetea? lipo tayari kuangamiza familia ya rais lkn wakiwatetea wanaoujulikana na watz wengi. msimamo huu unanifanya nikichukie Chadema huku viongozi wake wakikaa kimya
linakuwa mstari wa mbele kumchafua rais wa nchi ilimradi muhariri anafanikisha malengo yake binafsi ya kuwatetea akina EL,RA na wengine ambao tayari CDM wanaona ni hatari kwa taifa letu.
Watz wengi wanaamini vyombo vya habari, ndio maana wengi tunaamini msimamo wa CDM kuhusu ufiadi ni kiini macho tu. sina haja ya kujiuna na CDM Hii chini ya mwenyekiti mbowe, katibu slaa, naibu Zito.
SITOJIUNGA NA CHADEMA NA KUINGAMIZA NCHI YANGU
Chama cha Magamba kimeishaiangamiza nchi vya kutosha au wewe mwenzetu ni kipofu
 
Baba badili jina huna haja ya kujiita Mzee wa Hoja nafikiri unatakiwa tukuite KICHANGA CHA HOJA! kajipange upya we babu!
 
Kila mtu cdm ,cdm! Kweli cdm inawauma. Kuna siku hata mwl nyerere alishaitamani cdm,hata kikwete kuna siku atasema cdm ya ukweli. Usije mkuu kaa uko kusiko na ujangili,tuache na cdm yetu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom