Kwanini Kikwete asiwakamate na Kuwafunga Lowassa na RA?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF mambo yanavyoenda hapa TZ hawa watu wawili ndo wanasababisha maafa kila sehemu Arusha wapo, Dowans wapo, EPA wamekula Kagoda etc

Kama hawa watu na wengine hawatowajibishwa KIKWETE atafungwa na wananchi wanyewe

Note: HASIRA za wanachi zinapanda taratiiiibu,wht next......
 
wapowengi Karamagi TICS, Mkono BOT Scandal, hawa wote wanaitwa watotot wa Mbwa maana mtoto wa mbwa ukimwonyesha Mguu anag'ata , ukimwonyesha kiatu hivyo hivyo , ukiwaonyesha pesa tu wapo tayari kukutoa utumbo
 
Kwenye kongamano la katiba jumamosi Mzee Mkinga alisema yafuatayo: (Nanukuu context si neno kwa neno)

"Nyerere tunaweza kumsamehe kwa makosa aliyofanya kwa sababu hakuwa fisadi na akisema anachukia rushwa unamwona hata kwenye macho anaichukia. Hata mawaziri wake wakuu hivyo hivyo
Kawawa akisema anachukia rushwa unamwamini;
Sokoine akisema anachukia rushwa unamwamini;
Ahmed Salim akisema unamwamini;
Msuya akisema unamwamini"!

Kisha akatugonga na swali "Lowasa akisema anachukia rushwa mtamwaminiii??? Ukumbi ukaripuka "Hapanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa"

Kitu pekee huyu mzee hakufanya ni kama angeuliza "Je JK mnamwaminiiiii???

With all due respect King of Kings: Can JK do what your post says?? Kwanini Jk asiwakamate na Kuwafunga Lowasa na RA?
 
Mkuu asante kwa kuanza ningeshauri JK aanze na hawa then wananchi watakuja kwake
 
Inavyoonekana hawa jamaa wawili wameji-encroach na serikali ya JK kiasi kwamba hana analoweza kufanya kabla wao hawajapiga counter attack.

Hebu fikiria hili: JK atazungumza nini kinyume cha RA kisha hilo neno likasikika kwa Salva na asimwambie RA. Wana orodha ndefu sana ya watu walio watiifu kinyume na rais ingawa kawateua yeye.
Tunaambiwa UVCCM na UWCCM kumejaa wafuasi wa hawa jamaa wawili. Hawa jamaa wanaendesha nchi wakiwa wamekaa kiti cha nyuma.

JK aliutaka sana urais lakini hakuwa na maono ya nini afanye akishaupata. Kama angekuwa na maono ni wazi angekuwa amejiepusha na genge hili toka mwanzo ama sivyo angefanya kuwatumia kisha akipata madaraka anageuza kibao kama Mwanawasa alivyomfanyia Chiluba (zambia) au Muthalika alivyomtenda Bakili Muluzi (malawi).

Ila kama kuna kitu watanzania wanaweza kumkumbuka kama shujaa ni pale akiwadondosha hawa "giants"
 
WanaJF mambo yanavyoenda hapa TZ hawa watu wawili ndo wanasababisha maafa kila sehemu Arusha wapo, Dowans wapo, EPA wamekula Kagoda etc

Kama hawa watu na wengine hawatowajibishwa KIKWETE atafungwa na wananchi wanyewe

Note: HASIRA za wanachi zinapanda taratiiiibu,wht next......

HAWEZI WWEWE UNAWEZA KUMKAMATA MUMEO NA KUMFUNGA?UNAWEZA KUFUNGUA KESI YA MADAI DHIDI YA mKEO?KAMA JINSI USIVYOWEZA NA JK HAWEZI KABISA,KWANZA JK NI MGONJWA MUMUACHE APUMZIKE KWA AMANI JAMANI
 
Kitendo cha JK kuwakamata RA na EL ni sawa na kujikamata mwenyewe.
Vilevile angalieni anavyosuasua kutoa tamko kuhusu malipo ya Dowans, anajua akipinga au kukataa kulipa zile pesa, na yeye atatajwa kuwa mhusika wa Dowans.
 
na keshakopa Ulaya ameahidi kulipa mwezi ujao sasa huku mnavyomgomea anaweza akafa
 
Mi nafikiri akajisalimishe yeye kwanza,nafikiri ni fisadi aliyejaliwa sura nzuri yenye tabasamu innocent na sauti ya kushawishi kuwa ni mpenda watu ila rohoni mwake ni mtu anatuona wananchi tuliomchagua wajinga na kwa hiyo anafanya atakalo...:Cry::Cry:
 
Da Michelle aina hii wanaitwa "silent killers"!!
Anakuua huku anacheka
 
Hicho ni kitu kisichowezekana kwasababu wao ndio wamemweka hapo na wanashirikiana naye kwenye ufisadi. Akithubutu kufanya lolote against yao anajimaliza mwenyewe
 
labda yeye jk akamatwe na hao mafisadi wamtie jera sio yeye awakamate. atolee wp ubavu huo? kwani kikwete ndo kiongozi wa mwisho serikalini? wapo yeye geresha tu.
 
Luis Moreno Ocampo his on his way to Tanzania! Wale wote waliohusika na ubadhirifu na mali ya taifa hili ole wao!
 
Kama hilo lingewezekana angeshafanya siku nyingi,ukweli na kwa ufupi hana mpango wowote wa kuwachukulia hatua tena kwake yeye anawaona hao watu kama malaika vile.Ni vizuri sasa watz tukajifunza sana ni jinsi gani ya kuwatambua wale wanoomba uongozi kwa nia ya kuhudumia taifa na wale wanaoingia kwa maslahi yao na magenge yao.
 
Jk sio rais, EL na RA ndio marais wa tz. Jk anawajua mamafia hawa, walimfanyia kazi nzuri ktk kampen zake 2005 ambapo taifa zima lilipewa rushwa na kuanza kuimba jk jk jk pasipo kufikri.
 
Kwani urafiki wa kikwete rostam na lowasa ulianzia barabarani?.................hawezi kuchukua hatrua zozaote zaidi ya kuwahadaa watz wa sayansi na tech.....ambao hawadanganyiki tena
 
Back
Top Bottom