Nimeamua kujiunga na CCM

kilombero yetu

JF-Expert Member
May 6, 2011
1,004
116
Kwakweli pamoja na mapungufu yote ambayo binadam wanayo na mfumo wowote unayo, CCM ni chama cha demokrasia ya kweli, kwa kukubali kukosolewa na kujirekebisha, mazingira yananionyesha CHADEMA kingekuwa madarakani kisengeruhusu kusemwa hv kama CCM inavyotoa uhuru wa kukosolewa na Rais Kikwete anatufundisha tuvumiliane mpaka tutakapozoea kusema na kusemwa.

Ushahidi ni jinsi tu mwenyekiti Mbowe anavyopingwa kwenye kikao na Zitto na kumtumia Lema kumshambulia Zitto, je siku wakiwa ikulu atakubali magazeti ya mpinge?
 
kama CCM inakubali kukosolewa, walimfanya nini:-
1: Mzee Abdu Jumbe
2: Horace Kolimba
3: Walimkosakosa Nape na Sitta
4:...
 
Safi sana ndugu yangu umefanya maamuzi ya busara kabisa,kwa ushauli achana na hao wote wanao kukejeli bali tuzidi kushilikiana ili tuzidi kukihimarisha chama chetu cha mapinduzi
 
Mimi nikutakie mema katika harakati za kutekeleza haki yako ya kikatiba.

Mimi nikubaliane na wewe katika pongezi zako kwa Rais Kikwete. Kwa kweli tumshukuru Mungu kwa jinsi huyu bwana alivyopewa moyo wa ustahimilivu na katika kulea na kuulinda uhuru wa watu kutoa maoni yao bila bughudha. Kwa kweli ni vigumu kuamini kwamba hawa leo wanaomtukana kila aina ya matusi wangekuwa wanashikilia dola wangetoa uwanja mpana wa kutoa maoni yao na wakati mwingine kukashfu kama ilivyo sasa.

Ni vigumu kujua thamani ya uhuru huu mpaka ama tuukose au kwa kuangalia wenzetu wanavyohangaika kutoa maoni yao na kuishia ama kuuawa au kuswekwa ndani. Mfano wa Besigye na Museveni kule Uganda unatosha kutukumbusha kwamba tuna tunu ambayo tunatakiwa kuiheshimu. Lakini ukiwa na fikra za karibu hoja hii itazaa majibu makali, hata hivyo ukweli ndivyo ulivyo. Unauma.

Wanasema ukimsifu baba yako mbio, msifie na yule aliyemkimbiza.
 
Kwakweli pamoja na mapungufu yote ambayo binadam wanayo na mfumo wowote unayo, CCM ni chama cha demokrasia ya kweli, kwa kukubali kukosolewa na kujirekebisha, mazingira yananionyesha CHADEMA kingekuwa madarakani kisengeruhusu kusemwa hv kama CCM inavyotoa uhuru wa kukosolewa na Rais Kikwete anatufundisha tuvumiliane mpaka tutakapozoea kusema na kusemwa.

Ushahidi ni jinsi tu mwenyekiti Mbowe anavyopingwa kwenye kikao na Zitto na kumtumia Lema kumshambulia Zitto, je siku wakiwa ikulu atakubali magazeti ya mpinge?

Kuna ccm-mtandao I; ccm -mtandao II; ccm-itikadi; ccm-magamba; au ccm-nusu kaputi Ni ccm ipi hasa inajiunga nayo Tumaini letu:)
 
Kikwete yuko wapi katika hiyo mitandao, ndio huko anakokwenda.
 
Nenda huko huko na hisia zako hafifu,nenda huko huko maana upeo wa akili yako ni sawa kabisa na wewe
 
icon14.png
Breaking News: CHITANDA ATEMA CHECHE

Habari toka TBC Taifa zimemrekodi Mh. Chatanda kuwa vijana wa CCM wanaufinyu wa mawazo na kuona mbali. Kwahiyo hakuna watakachowezafanya.
Mwenye kiti wa UVCCM arusha Mh. Millya akasema chitanda lazima ang'oke.

My take.
KUmbe CCM vijana awaoni mbele, Chukua hatua.​
 
Na mimi napata hisia kumbe vijana kweli ni tatizo katika kuona mbele. Ndiyo hawa wanaoleta thread tasa humu na wale wanaogombana kule Bavicha. They are one and the same.
 
hivi hizo nihabari zakweli dat mbowe anamtumia lema au ni majungu, ccm haipendi kusemwa dat ma y wana kanusha kila kinacho semwa, nenda kavuliwe gamba!!!!!!!!!!!!!
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaa win 3 loose 10 halafu wajiita mshindi lol!! Sijawahi ona ushamba kama huu wa ccm yaani..........
 
Kwakweli pamoja na mapungufu yote ambayo binadam wanayo na mfumo wowote unayo, CCM ni chama cha demokrasia ya kweli, kwa kukubali kukosolewa na kujirekebisha, mazingira yananionyesha CHADEMA kingekuwa madarakani kisengeruhusu kusemwa hv kama CCM inavyotoa uhuru wa kukosolewa na Rais Kikwete anatufundisha tuvumiliane mpaka tutakapozoea kusema na kusemwa.

Ushahidi ni jinsi tu mwenyekiti Mbowe anavyopingwa kwenye kikao na Zitto na kumtumia Lema kumshambulia Zitto, je siku wakiwa ikulu atakubali magazeti ya mpinge?
Unasumbuliwa na elimu ndogo ya uraia hata hujui maana ya mfumo wa vyama vingi. Nyie ndo mnapigwa mawe, acha mawazo ya ukasuku na ulamba viatu be a man ie. Kuwa mwanaume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom