Rekodi kali za JK ambazo Slaa hawezi vunja- aongezewe muda wa urais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rekodi kali za JK ambazo Slaa hawezi vunja- aongezewe muda wa urais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mikael P Aweda, May 21, 2011.

 1. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mimi namuunga mkono Rais wangu Jk kwa sababu nimegundua ana rekodi ambazo katibu mkuu wa chama changu hawezi kuzivunja hata akiupata urais mwaka 2015. Fuatilia rekodi hizi. Mwaka 2015 nitampigia kura.
  1 Rais aliyeanguka haharani mbele ya Tv mara kadhaa. Nyumbani kwa haijulikani.
  2 Rais ambaye alitoa msamaha kwa wezi wa mabilioni kwa muda na wezi wa kuku wako magerezani. Hii ni kinyume cha katiba ya nchi na sheria.
  3 Rais aliyehutubia bunge lakini hansard ya bunge haina hotuba yake hiyo. Mijadala mingine yote ipo isipokuwa ile hotuba yake juu ya EPA. A historic record.
  4 Rais aliyeendesha kampeni kwa staili BMW. Baba Mama na watoto ( Rizwani na Miraji.)
  5 Rais aliyeunda mtandao kwa miaka 10 ukamjeruhi chama chake kisha akaukimbia.
  6 Rais ambaye watz hawajui idadi ya watoto wake. Siku ya kuapishwa tuliambiwa ana 'mke moja' na watoto kadhaa. Watanzania hawajui idadi ya watoto wake.
  7 Rais aliyetangaza HIV status yake hadharani na mke wake - wote wawili wakatuambia wao ni HIV Negative.
  8 Rais aliyeutafuta urais kwa miaka 10, baada ya kuupata waandishi wakamwuliza huko ufaransa sababu ya umasikini wa watazania ni nini? Yeye akawajibu hata yeye hajui kabisa.
  9 Rais aliyesimamisha mazishi shekh maarufu wa Afrika mashariki kwa sababu ni rafiki yake sana hadi atakaporudi kutoka nje ya Nchi.
  10 Rais aliyesafiri nje ya nchi mara nyingi kuliko rais mwingine ye yote Afrika. Miezi 6 iliyopita ameshakwenda nje mara zaidi ya 12 huku nyumbani hajaenda kushukuru watz hata mkoa mmoja. Pengine anahisi hawakumchagua bali alijitangaza kwa staili yake ya Mbayuwayu- alitumia zake.
  11 Rais ambaye alikwenda kujitambulisha nchi nyingi sana duniani baada tu ya kuapishwa. Sikumbuki Rais wa nchi nyingine aliyekuja kujitambulisha Tanzania.
  12 Rais aliyehutubia taifa mwisho wa mwezi akilalamikia wananchi kwamba chama cha upinzani kisicho na jeshi kinataka kumpindua madarakani.
  13 Rais aliyeasisi hoja ya udini akainadi vizuri sana nchi nzima wakati udini ni kinyume cha sheria lakini hakuna alihojiwa hata moja achilia mbali kufungwa jela kwa kosa hilo.
  14 Rais aliyewaambia wafanyakazi wa nchi yake kuwa hataki kura yao baadaye akabadili msimamo maji yalipomfika shingo - akaziomba.
  15 Rais aliyesema kuwa wanafunzi wa shule wanaopata mimba ni kwa sababu ya kiherehere yao siyo ugumu wa Maisha.
  16 Rais ambaye kipimo cha maisha bora aliyoyaleta yeye nchini ni wingi wa magari yaliyojaa ktk foleni katika miji mbali mbali hasa Dsm.
  17 anayecheka na kusmile muda mwingi kuliko marais wengine ninawajua.
  18 Rais aliyetoa ahadi nyingi wakati wa kampeni kuliko marais wote waliomtangulia nchini, wapinzania na nchi nyingine pia
  19 Rais aliyetangaza maisha bora kwa kila mtazania akapata kura 80% akashindwa kuyaleta akakataliwa na watazania.
  20 Rais aliyeingia madarakani kwa kuchakachua matokeo.Chama chake kikauchuna kisijibu hoja hiyo. Akaapishwa chap chap. Hata hivyo, rekodi hii amebanana sana Mwai kibaki wa Kenya.
  Je Slaa ataweza kuvunja Rekodi hizi? Kama hawezi mimi naendelea kumwuunga mkono Jakaya kikwete wa Ukweli.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ....hahahaaa kwa hiyo ni hovyoooooooo mbaya, SLAA where are you! tafadhari tukomboe toka kwa hawa MAGAMBA
   
 3. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,684
  Likes Received: 639
  Trophy Points: 280
  Duh!! hao hdio wajumbe wa NEC ya....
  Are you that immaterial? Try to use numbers next time,they make more sense!
   
 4. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  duh! Haya bana hao ndo watz anaowaongoza wanavyoona ila ka hizo ni facts, tah! teh! tih! tah!
   
 5. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  21. raisi aliyepewa ulinzi wa majini yamulinde!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,647
  Likes Received: 5,239
  Trophy Points: 280
  Prezoo, aliyeongoza kwa majibu ya "mi sijui" na "changanya na za kwako."
   
 7. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa mkuu, fafanua tuhuma zako kwangu.
   
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mh, hii balaa!
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  There are times when one is left to wonder whether some of these creatures that God created are worth their names. How can a person waste his precious time and resources for this hopeless thread? You surely are better than this!
   
 10. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  Kikwete oyeee.
   
 11. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  22. rais aliyewaingiza mjini TUCTA na mashirikisho mengine ya wafanyakazi mishahara imepanda kumbe lilikuwa changa la macho kupata mwaliko mei mosi
   
 12. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo la wakaskazini huwa hamuuoni ukweli kama CCM KILIPIGIWA KAMPENI NA WATU WATATU TU AMBAO UNASEMA BMW-HUONI IKITOKEA KIKASIMAMA NA MAKADA WOTE KINAWEZA KUKUMAZIA MBALI ICHO CHAMA CHA WACHAGA NA WAARUSHA? THINK TWICE UNATUMIA NGUVU NYINGI KUANDIKA VITU AMBAVYO HAVIJAENDA SHULE KABISA,NA MTANGOJA MILELE
   
 13. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #13
  May 21, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  There are times when one is left to wonder whether some of these creatures that God created are worth their names. How can a person waste his precious time and resources for this hopeless thread? You surely are better than this!

  Mbobo!
  You are wrong and he is quite right!:biggrin1:
  Remember...his freedom of expression counts! The choice is yours.. to take or reject.
  Sincerely, a worthful stuff to read and reckon upon.:A S-rose:
   
 14. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  MBOPO ,YOU ARE SO PREDICTABLE BRO/SISTER
  anyway unakunywa panado ngapi kwa siku kupunguzi maumivu ya kichwa maana kushindana na wakati au umma sio mchezo
  huyo unayemtetea kajifungia magogoni hataki kwenda kusalimu watanzania waliomchagua,
  mbaya zaidi mlinzi kafa, itabidi TISS watumike kujenga majukwaa ya sponge asije kujiumiza na salakasi zake
   
 15. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wewe una matatizo ndugu yangu, maana unaleta ubaguzi wa kikanda na hilo ni tatizo kubwa. Mbona kwenye umiliki uchumi wa nchi hii hamzungumzii ukanda? Ukweli nikwamba mtawala atatoka popote ili mradi awe na sifa zinazo stahili sio za kutengenezwa
   
 16. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu nakuunga mkono, kwa hili umenena na ninakugongea na thanks kabisa..
   
 17. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli ninachojifunza kutokana na thread hizi ni kwamba kumbe vichwa vya watu vina content tofauti tofauti sana. Kama freedom of speech maana yake ni hii basi neno "misuse" lingekuwa halina maana. You are only fortunate that alot of people have decided to stoop, hence thier support to this kind of stuff.
   
 18. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  I did not expect any thing better from you Sir! You are forgiven!
   
 19. ADAM MILLINGA

  ADAM MILLINGA Senior Member

  #19
  May 21, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyamaza milele we kizaz cha kifisad mafisad wakubwa kama maralia haikubariki hata ccm pia haikubarik
   
 20. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  23. Raisi ambaye Mwanae anaishi kimjinimjini
   
Loading...