Mukama ataendelea kuwa M'Kiti wa Bodi ya TSN au itabidi aachie ngazi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mukama ataendelea kuwa M'Kiti wa Bodi ya TSN au itabidi aachie ngazi???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kingcobra, May 22, 2011.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Wajuzi wa mambo ebu nifahamisheni hivi inaleta afya kwa Mhe. Mukama kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya magazeti ya Serikali au itabidi aachie ngazi?
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Unashangaa ya Mukama, Nape bado mkuu wa Wilaya huku akiendeleza juhudi za kuwanyanyapaa wachagga.
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hawezi kuachia nafasi hiyo na huenda akaingia bungeni kwa nafasi za upendeleo za rais!
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwani nape amekujaje hapa? au anakuwasha?
   
 5. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duhh! Heshima kitu cha bure lakini kwa hili hata kwa mkopo sikupi heshima. Jamaa katoa mfano hai wa Nape lakini wewe unamjia juu!!!
  Kakosea wapi ??? kama ipo sehemu aliyokosea basi mrekebishe.
   
 6. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kwa chama cha Magamba yote yanawezekana; yule marehemu aliyepigwa risasi huko Mbeya mbona alikuwa Diwani, Mwenyekiti wa halmashauri na pia Mwenyekiti wa wilaya hiyo hiyo wa ccm!!
   
 7. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Unauliza makofi kituo cha polisi?????? Ile editorial ya wakati wa uchaguzi unaikumbuka? Kama waikumbuka basi jibu liko wazi kabisa.
   
 8. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  ki uhalisia hapaswi kuendelea maana tayari ataweza ku influence magazeti ya serikali lakini kibongobongo ataendelea na anaweza kupewa u bunge na maisha yakaendelea kama vile hakuna jambo la maana lam kubadilisha
   
Loading...