Mhadhara Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi: Mwakyembe, Sitta, Shivji et al ndani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhadhara Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi: Mwakyembe, Sitta, Shivji et al ndani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pasco_jr_ngumi, May 19, 2011.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Wadau,
  Leo "usubuh" nimeingia hapa chuo kikuu cha ushirika na biashara nimekuta bango linalosema jmos kuna mdahalo mkali.

  Washiriki wakuu ni Prof. Shivj, Prof. Chambo, Six na Mwakyembe...

  Topic: Why Tanzania is poor nation for 50 years from independence?

  Nawasilisha!
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 280
  Rip ccm
   
 3. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Watu wanaingia bafuni sasa.
   
 4. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,677
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Somebody please open a U-stream account(www.ustream.com) and stream this symposium live!! it's not that hard!!
   
 5. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwasababu Watanzania hatupendi kujituma tunapenda sana kupiga domo kaya...kazi baadaye,Kumbuka nchi za Asia baada ya kuona kuwa zipo nyuma sana kimaendeleo kulinganisha na nchi za ulaya,wananchi wa Asia walijitolea kufanya kazi ata kwa ujira mdogo ili mradi maendeleo ya patikane na wamefanikiwa katika hilo,ebu angalia Korea,China,Taiwani,Singapore....Vile vile sababu nyingine Tanzania ikiwa katika bara la Africa mambo kama haya pia yamechangia vile vile ,Magonjwa(HIV,AIDS,Malaria etc),Corruption,Vita vya mara kwa mara,Trade barrier in EU & US(vikwazo vya kibiashara) na viongozi wetu kukosa mawazo mtambuka...
   
 6. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Mi naona hawa wanajisumbua tu! Nchi maskini sababu hata mtoto wa miaka 2 ukimuuliza anajua1... So y dat topic?
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  CCM wanatunyonya sana!
   
 8. W

  WildCard JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Matajiri na vibopa wanawazungumzia masikini! Nendeni tu muwasikilize hao. Ni haohao kila kongamano, semina elekezi, mjadala, warsha, you name it!
   
 9. B

  Bijou JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145

  hivi watanzania mbona tu wasahaulufu??? Mbona itakuwa ni rahisi, kwani naye ni fisadi tu, chimba alipokuwa cda, waziri wa ujenzi, tic na hata bunge, anawaandama hao pengine labda hakupata mgao!!! Ha ha ha haaa
   
 10. B

  Bijou JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145

  kwakweli umaiweka katika proper perspective, wote hao hakuna kitu watu wamekaa kimaslahi zaidi, siyoni anayelilia maaslahi ya umma
   
 11. s

  smz JF-Expert Member

  #11
  May 19, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Msikilizeni Pro Shivji peke yake. Hawa wengine ndo wale wale. Wataeleza nini wakati serikali iliyoko madarakani ni ya kwao. Nani kati ya hao anaweze sema ukweli kuhusu umaskini wa waTz.

  Kumbuka ni juzi tu wametoka kwenye semina elekezi ambako wameambiwa hakuna kutofautiana kati ya waziri na waziri mwenzake katika kutetea mazuri ya serikali - kama yapo. Labda kama Six na Mwakyembe wameuchoka uwaziri wao, kitu ambacho ni muujiza. Tutasikia ngonjera zile zile tu, na watu wanatia ndani per diem.
   
 12. B

  BUBERWA D. JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 446
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Hapo kuna shivji tu waliobaki ni wizi na unafiki mtupu
   
 13. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Taratiiiibu Six na Mwakyembe wanajitenga na serikali ovu ya JK
   
 14. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Siamini kama topic ni "why"....
   
 15. S

  Sweetlol Senior Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii na mimi nimeiona nimewapa na mada zote hapa.naona watu wanahangaika kuupokea ugeni huo.
  mi ntaenda kuhudhuria,ila patamu hapo acha.
  CCJ waleeeeeeeeeeeeee
   
 16. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ningekuwepo huko ningekuja kumsikiliza Shivji na Mangasini ( naona hujamtaja hapo), sijui kwa nini hawajamwalika Prof Moshi?
  Nadhani angekuwepo, ingekuwa mara ya kwanza kwa Prof Shivji kufunikwa (japo Shivji ni kali zaidi)
  Hao wapuuzi wengine hawana cha kusema juu ya hii nchi sababu wao ni sehemu ya tatizo (mfumo uliyooza), hivyo hawana watakalo sema sanasana watajadili weeee na watabaki na hilohilo swali kama JK......."Sijui kwanini hii nchi ni masikini...."
   
 17. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hii ni sumu tuliyonyweshwa na watawala wetu wakwepa majukumu na waliokosa maono ya kiuongozi na wakabakia na lawama kwa Watz eti wavivu.
  Na kwa bahati mbaya sana huu wimbo uliweza kuimbwa vizuri sana na lile lijambazi la awamu ya 3, Mkapa!
  Na kwa bahati mbaya sana zaidi kuna kundi kubwa sana la wasomi, watz, na vijana kibao yaani kila kada ya nchi hii wakauamini huo upuuzi.
  Umeorodhesha vitu vingi hapo, na hizo nchi, ila nitajie nchi yoyote duniani (au katika hizo ulizozitaja) ambapo imeendelea kwa juhudi binafsi za mtu mmoja mmoja?
  Pia nijibu hichi kitu, hivi? Enzi zile ambapo Mwalimu nyerere anasongesha mambo katika hii nchi hadi leo hii Mwalimu anasifiwa kwa kila kitu ukilinganisha na hawa marais vilaza waliomfuata, hayo mambo yote Nyerere alikuwa anafanya peke yake tu??
  Tunaambiwa kulikuwa na viwanda zaidi ya 300, na mashirika kedekede, taasisi za umma na mazagazaga yote, je hayo yote alikuwa anafanya walimu peke yake?
  au aliagiza raia kutoka nchi za nje (kama hizo nchi ulizozitaja)
  Labda kweli maana tunasikia kwa kipindi cha Mwalimu Tanzania ilikuwa inalingana na China baadhi ya vigezo vya kiuchumi, India na hizo Tiger countries nasikia tulizifunika kabisa (eti enzi hizo za miaka ya 70).
  Narudia tena kukuuliza je hayo yote alikuwa nayafanya Nyerere peke yake? Au alikuwa anawatumia raia wa nchi gani?
  Kama ni watanzania! ok, baada ya nyerere hao watz aliojenga nao misingi aliwapeleka wapi?
  Wapo eh?
  Sasa kama mtu unaakili timamu utagundua kwamba, kama watz ni walewale tu kilichobadilika ni kwamba hayupo Mwalimu tu, maana yake ni kwamba Uongozi mbovu ukiwa na watz walewale jibu lake ni umasikini tu.
  Hebu tujikumbushe, ili uendelee unahitaji nini? Watu (watz wapo), ardhi (tunayo kubwa sana, ambayo haitumiki ni kubwa kuliko inayotumika), uongozi bora (we unauona?) na siasa safi (we unaiona?
  Rudi darasani zaidi nenda kajifunze historia ya hayo mataifa uliyoyataja hapo.
  Hizo Taiwan na Singapore unajua zimetokaje?
  Eti unaisema china.?
  Mfumo wa siasa uliyobora (kwa nchi husika) ndio unaozaa taifa bora na imara lenye maendeleo,
  Na mfumo bora wa siasa unawezaa kusimamiwa na uongozi bora. Mkiwa na haya hayo matatizo mengine yoote uliyotaja ni ya kawaida na mnayapita tu.
  Mfano leo hii Japan pamoja na tetemeko kali la kihistoria lakini wametoa msaada kwa waathirika wa mabomu mbagalaa.
  Watz ni watu wa kawaida kama walivyoraia wengine tu wadunia ambapo tabia ya ujumla ya binadamu yeyeto ni kwamba "u treat one like a dog, s/he z gon act like a dog"
  Na kwa taarifa yako huyo muasisi wa huo msemo wakipuuzi kuwa watz ni wavivu aliumbuka mbele ya Rais wa Botswana pale aliposema ni Watz maengineer ndio wanaoijenga Botswana, je hao maengineer na wataalamu wengine tunawatumiaje, usisahau madaktari na walimu wanaishi kama wakimbizi kwa ujira wa chini huku wansiasa wanaishi kama wapo peponi.
  Fumbua macho, ona, sikia na utazame. ​
   
 18. njiro

  njiro Senior Member

  #18
  May 19, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 105
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Prof Moshi wampe 2hrs, lazima atafunika.
  Umenifurahisha sana. D'oh Mangasini!!!!
   
 19. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #19
  May 19, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,677
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  Ni sehemu kama hizi watu ndio wanatakiwa wawashukie nondo hawa viongozi,kistaarabu tu!,ila wangeweza kustream live ingekuwa poa sana,kuna hata washikaji huku marekani(...sorry) wanataka kuona hii wapate kujua.
  what is so hard? Wakati nipo SUA (looong time ago) tulikuwa na tv station yetu,sembuse leo?
   
 20. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kongamano la kihistoria litafanyika katika chuo cha ushirika Moshi (MUCCOBS) 21 May 20011. Watoa mada Samwel Sitta, Harrison Makyembe, Pro Shivj wa UD na Prof Chambo nk. kongamano litahusu ''KWANINI TANZANIA NI MASKINI BAADA YA MIAKA 50 YA UHURU''.
   
Loading...