Kipindi dk 45 ITV Vs Mchakato majimboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipindi dk 45 ITV Vs Mchakato majimboni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by pikadili, May 22, 2011.

 1. p

  pikadili Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF nimekuwa nikifuatilia kipindi cha dk 45 ITV ambacho kimekuwa kikilenga mahusisi mahojiano na baadhi ya watendaji serikali espicially mawaziri na wastaafu wa serikali ya MAGAMBA,binafsi natatizwa na hiki kipindi kimelenga nini hasa,je ni product ya dhati ITV au nimpango wa serikali ya magamba mana kipindi cha uchaguzi walikimbia kwa kuona ni anguko kuhojiwa nini kipo nyuma ya kipindi hiki,naomba ufahamu,pia wahusika nendeni yaidi ya hapo kipindi kiongezeke weledi!
   
 2. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Iliandaliwa walau hata wajisafishe kwa wananchi,kimsingi haina faida yeyote maana ni danganya toto
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama hujisikii kuangalia si tune EATV uangalie miziki, tuache sisi tunaotaka kujua hali ya nchi yetu. Ukiwa mjinga sio lazima ushawishi na wenzako wawe hivyo.
   
 4. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  si lazimaucomment kama hamna unachokijua.kipindi hicho hakijawa balanced.tunapata habari za upande mmoja.nafikiri washirikishwe na watu wengine ambao sio watumishi wa serikali.vinginevyo tunatukuwa tunalishwa habari za upande mmoja.
   
 5. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni kipindi maalumu kwa ajili ya serikali kuelezea mikakati yake ya utekelezaji wa ilani ya magamba na jinsi ya kuondoa kero mbalimbali zinazoewakabili wa tz. Ni kipindi ambacho kinaonesha upande mmoja wa shillingi so siyo vibaya watu kukstukia maana habari zake hazijawa "balanced"
   
 6. p

  plawala JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni muhimu kujua kimedhamiria nini hasa,lkn ni njia ya kusafisha kwa jinsi kilivyo,wakati wa kammpeni waje waonekane kwenye tv tuwaulize waliyotufanyia,tutawashika tu
   
 7. K

  Kaseko Senior Member

  #7
  May 22, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mukama na jk huwa wanasema maendeleo na utendaji wa viongozi wa serikali huwa yanaonekana kulikoni kuelezea kwenye dk 45.
   
 8. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Siku Tyson Wasira anahojiwa nilisikitika kuona mwandishi alivyo pwaya katika kumu uliza maswali ya msingi utafikiri haishi hapa nchini! Alikwenda bila kujia ndaa vyema ilhali akijuwa Wasira ni mwanasiasa aliye komaa! Wanasiasa aina ya Wasira ni wajanja na anaweza kukutoa kwenye mstari akaanza kukuongoza jinsi ya kuuliza maswali na yeye kukuburuza apendavyo.

  Mwandishi hakuwa na reference yoyote na baadhi ya maswali yake hayakujibiwa kabisa bila yeye kustuka!Juzi nilimuona Maulidi wa Kitenge nayae anamhoji jamaa mmoja kwenye kile kipindi, nilibadili Channel kwa sababu hakikuhusu michezo-Maulidi akihoji maswala ya michezo utapenda, lakini siasa na mambo ya utendaji serikalini? wapi na wapi! Kwa staili ile niliacha kuangalia vipindi hivyo, huwa napenda kipindi cha "Je, Tutafika" cha Ch. 10 cha Chief Makwaia, "Mzee wa Hapo patamu..,hemu rudiaaa.."!
   
Loading...