Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nahofia sana mfumo wa SIASA tuliouanzisha hivi sasa wa kukuza MIGOGORO na MPASUKO ktk jamii na kuitumia kama MITAJI yetu ya siasa ktk majukwaa ili tupate UMAARUFU. Hatuna fikra kama tukijaaliwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Rehema Matowo, Moshi WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta, amesema anapitia nyakati ngumu za kisiasa kutokana na uamuzi wake wa kusimamia misingi ya haki, usawa na uadilifu...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni jambo la ajabu sana linalotia shaka kwa wanasiasa wetu kujinadi kwa sera zinazoingilia uhuru wa nasfi na kuacha kujinadi tukiwapa madaraka wamejipanga vipi kutatua kero zetu...sekta na asasi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika pitapita yangu kwenye net nimekutana na hii kitu. Kama imeshawahi kusomeka hapa JF naomba mods muifute. ================= We, the Tanzanian Community now living in Canada, have been...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Yule kada wa CCM, Daniel ole Porokwa yuko katika mkutano na waandishi wa habari hivi sasa. Nimeambiwa amejipanga kupasua jipu kuhusu uanzishwaji wa CCJ. Amepanga kueleza kila kitu juu ya chama...
6 Reactions
207 Replies
18K Views
Baada ya Wazee wastaafu wa Jumuiya ya Africa Mashariki, kuelezwa kuwa hawana haki ya kulipwa, katika hukumu iliyosomwa leo, wazee hao wamelia na wengine kuzimia na kuanza kupepewa. Wengi wamesema...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Wana JF kuna jambo nimeligundua kwa mkuu wa kaya ni tofauti na awamu ya kwanza ya uongozi wake. Toka achaguliwe ziara zake ni dodoma na bagamoyo, mkoa wa Iringa kakanyaga juzi kwenye mazishi ya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Umaskini wa kutupwa wa Tanzania (pamoja na nchi kujaa raslimali tele) umetokana kwa kiasi kikubwa na mfumo mbovu wa uongozi ambao umejaa ubinafsi, ulafi wa madaraka, ufisadi (corruption)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Monday, 23 May 2011 21:54 Ramadhan Semtawa WABUNGE wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, wamehoji sababu za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuingia mkataba waliouita wa ovyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By In2EastAfrica - Sun May 22, 2:50 pm Minister for Justice and Constitutional Affairs, Celina Kombani The Ministry of Constitution and Legal Affairs was subjected to strong criticism...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na uratibu) Wiliam Lukuvi anasema Serikali aiweza kuona raia wake wanapata matatizo, lazima wafanya haraka kuwasaidia wananchi
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Katibu mkuu wa chama cha magamba Wilson Mukama jana alionja joto ya jiwe baada ya kuzomewa na wananchi wilayani Musoma mkoani Mara. Mukama alipata dhahama hiyo baada ya kuisema vibaya chadema...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Mpaka sasa uwezi kuona kinachoendelea ubungo, Mnyika bado amelala inzi wanaingia ndani, daraja la ubungo udsm limepelekwa na maji, Mnyika kaenda kulitetea kaishia kunywea sijui alipata majibu...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Monday, 23 May 2011 18:53 newsroom NA STEPHEN BALIGEYA KUNA watu wanalipwa ujira kidogo na kuambiwa kuhamasisha wengine nao waandamane lakini hawaulizi kwa nini wanaandamana, badala yake...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
" Leo majira ya saa tano asubuhi katika kata ya Terat Jimbo la Arusha Mjini , Kulikuwa na tukio la upandaji miti lilifanyika katika shule ya msingi Nadosoito na kuhudhuliwa na Wabunge wa EAST...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwaka 2006/7 kulikuwa na halmashauri 100 ambazo zilipata hati safi za ukaguzi, idadi hii imeanguka hadi halmashauri 65 tu zilizopata hati safi mwaka 2009/2010, ikionesha kushuka kwa ubora wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
• Asema walimshawishi ajiunge na CCJ na Salehe Mohamed UPEPO wa kisiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) unazidi kuchafuka baada ya Katibu Msaidizi wa chama hicho wilaya ya Moshi, Daniel...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari hii ni ya mwanzo katika the East African. Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Tanzania, Bernard Membe, iwapo kampuni ya BAE itatekeleza mpango wake wa kulipa fedha za fidia...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Uchaguzi wa 1995 Bulj alimngoa baba kimbao alietawala zaidi ya miak 20 kisiwa cha Mafia na kukiweka ktk hali maskini ya kutupwa. Tulidhani tumejikomboa kumpa Bulj. Kumbe amezidisha matatizo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…