Wanasiasa wetu mbona mmekuwa kama inzi wa kipindupindu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanasiasa wetu mbona mmekuwa kama inzi wa kipindupindu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eng Mayeye, May 24, 2011.

 1. E

  Eng Mayeye Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni jambo la ajabu sana linalotia shaka kwa wanasiasa wetu kujinadi kwa sera zinazoingilia uhuru wa nasfi na kuacha kujinadi tukiwapa madaraka wamejipanga vipi kutatua kero zetu...sekta na asasi nyingi sana za jamii zinawajibu huo ktk maafa yatokeayo ktk jamii.. Wanashindwa kutekeleza wajibu wao sababu tayari maafa hayo umeshayavika KOTI lako.. Kila usikiapo mgogoro ushajitokeza na KUHUKUMU je na vombo vya sheria vifanye kazi gani?
   
 2. O

  Omr JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanatfuta sifa za kijinga
   
 3. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanajitia wasomi kumbe wanaburuzwa na padri slaa
   
 4. E

  Eng Mayeye Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mmoja amekurupuka eti ataishtaki serikal. Hii yote ni kujipendekeza tu, je akishindwa hiyo kesi atawaambia nini wafuasi wake..? Nahisi wamechukua opportunity ya ushabiki walioujaza kwa wananchi ili kupitisha mambo yao binafsi... Hii trick ya kwenda wazimawazima mtakuja kuangukia pua na msipate wa kuwainua.
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  kuanzia mleta mada hadi post ya nne (wachangajiaji) wote mna ufinyu wa mawazo
   
Loading...