Dakika 45, ITV na Waziri Lukuvi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dakika 45, ITV na Waziri Lukuvi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mshume Kiyate, May 23, 2011.

 1. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na uratibu) Wiliam Lukuvi anasema Serikali aiweza kuona raia wake wanapata matatizo, lazima wafanya haraka kuwasaidia wananchi
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,987
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa!
  Huyu jamaa arudi kuwa headteacher kule idodi.
   
 3. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,079
  Trophy Points: 280
  Te te te! tumsikilize kwanza jamani.
   
 4. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu kwanza ueleze tuhumu za vyeti vyake feki.

  Pia sababu alizotoa kuhusu kijimilikisha msitu wa serikali bado hazitoshi.
  Atuambie kama nafasi yake kwenye serikali haikutumika kupata huu msitu
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anaponda Chadema kazi nikutafuta mambo ya uongo ili waonekane wakweli
   
 6. Mnwele

  Mnwele Senior Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Huyu katika maongez yake yote ni sharti amanange CDM. Kaz kwel kwel
   
 7. z

  zamlock JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hv anapataje pataje hv vyeo?
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Anasema Dk Slaa kazi yake porojo, Serikali ya CCM kazi yao kuwaletea wananchi maendeleo, sio maandamano
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,630
  Likes Received: 12,883
  Trophy Points: 280
  hili gamba lilitoswa huko nyuma asa saivi lazma lilete magumashi litarudishwa ukatibu kata teheteheteheeee
   
 10. f

  fame Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yeah tumemsikia akitumia kodi ze2 kujibu shutma huku akijinasibu kwamba watz wataona ni kinanani watakuwanachakuonyesha mwishoni! Cheap politiks! Nani asiyejua kwamba ccm ndiyo yenye govt na ndiyo wanaokusanya kodi ze2. We need accountability& not mere words. Btw, one way communication bore a lot. Wangefanya mdahalo/kuruhusu maswali online
   
 11. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,691
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Kwani msitu wa sao hill umebinafsishwa?.....kama ndio,basi hapa JF tutaona hati ya kumiliki ya mheshimiwa lukuvi!....kama sivyo,basi itakuwa ni porojo za.......you know the rest!!
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Waziri Lukuvi kasema kweli CDM kazi yao kutunga uongo na porojo kamwambia Dk Slaa apeleke ushahidi wa makaratasi kama yeye anamiliki kitalu
   
 13. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Hana hoja,
   
 14. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bi Sophy nawe wakubaliana na Lukuvi?
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Ninapata shida sana kuelewa nini hasa maendeleo! Serikali ina tafsiri vipi hili neno maendeleo? ni kuwa na 36% ya wananchi wasiujuwa watapata wapi chakula? ni kuwa na 80% ya wanafunzi wa kidato cha IV waliofeli? au kwa kusambaza umeme kwa wananchi 14% mjini na 2.5% vijijini tena kwa mgao kwenye nchi yenye watu wapatao milioni 40? Au pengine maendeleo ni kuwa na wigo mpana wa kupitisha 'vibakuli' ili watu wasife njaa?

  Nijuavyo mimi sera na uratibu kwa context ya Tanzania ni 'policy and governement coordination (or monitoring)'. Kama ndivyo, na kwa heshma zote, Lukuvu ana ujuzi gani kwenye mambo ya sera? Na hii inaonesha ni kwa kiwango gani watawala wetu hawako serious. wanaweka mtu ili mradi- kwani watanzania watafanya nini? tuna dola sisi!!!
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  ritz, inaelekea watanzania wanaukubali uongo wa CDM na kuutata ukweli wa CCM.
   
 17. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa hata kumuona mie huwa sipendi . Watakimbilia sana ITV hawa watu na bado . JAmaa kalonga kamaliza wao sasa wana haha kuzima alicho kisema . Huyu mtu naye ana kashfa kibao za kugushi Elimu yet ni waziri duh .
   
 18. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hana jipya atarudia kwenye mistari ileile waliyokwisha pita akina Wasira na wenzake
   
 19. Wa Mjengoni

  Wa Mjengoni JF-Expert Member

  #19
  May 23, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bw. Semunyo wa ITV boresha kipindi chako hiki kwa kuita na upande wa pili wa mawaziri kivuli mfano Mbowe, Lissu, Regia na hata Dr. mwenyewe wa ukweli tusikie wana nini cha kuwaambia Wa tz kwa hizo dakika 45...wa Magamba kila siku wanaboa.
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  May 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mrs Lema, Lukuvi kaomba kama kuna mtu ana ushahidi alete zaidi ya hapo ni porojo
   
Loading...