Diwani mpambe wa Meya Arusha akutana na wakati mgumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani mpambe wa Meya Arusha akutana na wakati mgumu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nanyaro Ephata, May 23, 2011.

 1. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  " Leo majira ya saa tano asubuhi katika kata ya Terat Jimbo la Arusha Mjini , Kulikuwa na tukio la upandaji miti lilifanyika katika shule ya msingi Nadosoito na kuhudhuliwa na Wabunge wa EAST COMMUNITY , Pamoja na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema na Madiwani wawili .

  Utambulisho ulifanyika ambapo diwani wa kata ya Daraja mbili Bw Msangi alitambulishwa kama mwakilishi wa meya kwenye mkutano huo na tukio hilo.

  KASHESHE ilianza pale Mbunge wa Arusha alliposimama na kuanza kutoa hotuba na hotuba ya bwana Lema ilikuwa kama ifuatavyo ~

  Mh Spika wa bunge la afrika mashariki nashukuru sana kwa fursa hii na mtazamo mzima wa jumuia ya afrika mashariki kuunga mkono mpango mzima wa mazingira .

  lakini naomba jambo hili malengo yake yawe mapana zaidi kwamba tukio la upandaji miti lisiwe ni tukio tu bali mkakati mzima wakufanya na kubadilisha mtazamo kwamba upandaji miti uwe ni tabia ya kila mwanajumia wa east africa ili tuwe na nchi au jumuia yenye uhakika wa siku zinazokuja kwa kuzuia uharibifu mkubwa wa mazingira.
  Baada ya hotuba fupi ya Mh Lema,ndipo alipomweleza spika huyo wa East Africa kuwa swala la umeya wa Arusha bado lina mgogoro,hivyo mwakilishi wa meya ni batili,na akamwambia diwani huyo kuwa anamheshimu sana kama diwani,ila si kama mwakilishi wa meya.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Siasa za Lema NDIO ZINAZOTAKIWA KWA SASA.
   
 3. K

  Kiwembe Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anatisha ndo solution au mnaonaje wana jamvi hili jamani
   
 4. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Asante.
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Umesema yote mkuu!
   
 6. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  kaspeech kafupi lakini kalikoshiba. big mr. lema
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hii ndio dawa ya wahuni kama Meya wa Arusha.
  Ukikaa kimya wanaona kama vile umeridhika... dawa ni kupiga kelele kila nafasi ikitokea, ili wajue kuwa hawako salama!
  Naamini huyo diwani hatakubali kumwakilisha Meya tena, maana asipokuwa makini Lema ataweza kumpa za Uso!
   
 8. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huyo diwani kimtaa tunasema "kala za chembe" hivyo lazima akaee.
  Dawa ya mabishoo ni kuwa bishooo zaidi yao.
   
 9. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Safi sana Lema,wapo makamanda waliofariki ktk Yale maandamano Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi Amen:A S-rose:
   
 10. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Chadema imepata tunu kubwa sana kuwa na mtu aina ya Mh. Lema.
   
 11. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Safi sana..a spade is a spade and not a big spoon.
  Songa mbele ndugu yetu Lema
   
 12. M

  Makupa JF-Expert Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  jani linafanya kazi
   
 13. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  mpumbavu mkubwa wewe, huwezi kutudhakikishia mbunge wetu lema eti anavuta bangi,,?? Una ushahidi?? Au labda unavuta nae.... Usipende kuropoka hovyo ndugu makupa, utaumbuka,,, ulaaniwe wewe na uzao wako hata milele kwa kumtuhumu mh. Mbunge wa arusha mjini aliyechaguliwa na wananchi wenye akili timamu
   
 14. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  wanaosema jani hawana maana ukiambiwa ukweli basi unapindisha maneno. Inamaana Mizengo Pinda aliposema watu wawaue wauaji wa albino naye ilikuwa nini Jani? Siyo kweli. Issue ilimkuna akasema hisia zake basi.
   
 15. M

  Makupa JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ndugu mbona unakuwa mkali au tueleze maana ya jani ni nini
   
 16. delabuta

  delabuta Senior Member

  #16
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani lema ndi mfano wa kuigwa mwanaharakati wa ukweli asiye ogopa wala kutaka kupendwa good people's powerrrrrrrrrr
   
 17. n

  ngurati JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  naukumbuka wimbo mmoja wa mr. ii sugu uitwao kiburi. nayakumbuka mashairi haya, "kwani najua jeuri dawa yake ni kiburi" asante sana Lema. Hawa jamaa inatakiwa ni kupanda nao na kushuka nao. wasipumue. tena alitakiwa huyo meya feki ndio awepo ili aumbuke vizuri zaidi.
   
Loading...