Upole wa Mnyika ndo sababu ya Ubungo kumshinda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upole wa Mnyika ndo sababu ya Ubungo kumshinda?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, May 23, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mpaka sasa uwezi kuona kinachoendelea ubungo, Mnyika bado amelala inzi wanaingia ndani,

  daraja la ubungo udsm limepelekwa na maji, Mnyika kaenda kulitetea kaishia kunywea sijui alipata majibu gani

  machinga wa big brother kaacha kwenye mtaa, alikuja akasema atawatetea sasa naona kanywea kama vile hawajui,

  Kifuru

  Wananchi wananyanganywa ardhi yao lakini mnyika kimya kama hawajui


  Je upole/ udogo wake ndo unafanya ubungo kuzolota?
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mpaka sasa uwezi kuona kinachoendelea ubungo, Mnyika bado amelala inzi wanaingia ndani,

  daraja la ubungo udsm limepelekwa na maji, Mnyika kaenda kulitetea kaishia kunywea sijui alipata majibu gani

  machinga wa big brother kaacha kwenye mtaa, alikuja akasema atawatetea sasa naona kanywea kama vile hawajui,

  Kifuru

  Wananchi wananyanganywa ardhi yao lakini mnyika kimya kama hawajui


  Je upole/ udogo wake ndo unafanya ubungo kuzolota?
   
 3. AlP0L0

  AlP0L0 JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 3,464
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Kuongea na kutenda ni vitu viwili tofauti, na sio maranyingi mtu kuwa navyo vyote.
   
 4. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Unaona ujanja kuanzisha thread mbilimbili au ndo ulimbukeni?
   
 5. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Unaona ujanja kuanzisha thread mbilimbili au ndo ulimbukeni?
   
 6. p

  politiki JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  This is so unfair, mnyika has been mbunge for only 6 months, ccm has been in ubungo for 50 years done nothing. Give him enough time to accomplish his promises.
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ulishaleta thread hii huko nyuma. Na katika thread hiyo mchangiaji mmoja alikuuliza 'kuzolota' ndiyo nini?
   
 8. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,638
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Pale Big Brother si umeona baada ya Mnyika kupigia kelele, Pinda na JK wakampiga stop Magufuli kubomoa kibabe! Kazi ya Mnyika imeonekana!
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ndo maana nchi inakushinda kuongoza wewe!
  we miaka 6 hadi saivi umefanya nini kama raisi?
   
 10. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hivi kwani lazima na wewe uonekane umeandika?mbona pumba kabisa hizi,Kama vipi JIVUE GAMBA NA WEWE KAMA WENZAKO,sio kutuletea thread ambazo hazina nyuma wala mbele humu.
   
 11. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kupiga makelele sio inshu I am sure kuna vitu anafanya underground.
   
 12. Andrew Kellei

  Andrew Kellei JF Gold Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Eneo kuendelea au kuzorota hakuchangiwi na upole au ukali wa Mbunge.
  Kwani hujui kwamba kuna watendaji wengine ukianzia na watu wa serikali za mitaa?
  Hao nao wapole?
  Au una chuki binafsi na Mnyika?
   
 13. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Jivue gamba na wewe usituletee umbea hapa,tuambie ni kwa nini umeme umekuwa ni tatizo sugu wakati watumiaji wa nishati hiyo ni asilimia 15 tu.Tuambie chenchi yetu iliyorudishwa na wezi MAFISADI wenzio ipo wapi?Tuambie mmiliki wa Kagoda na pesa zetu(mabilioni)ya walipa kodi zipo wapi.Tuambie wananchi wetu mliowaua kule Nyamongo ni hatua gani mtazichukua au mlizokwisha kuzichukua.Yapo mengi Ila kubwa kuliko yote angalia bajeti ijayo yasije kutokea ya kutokea maana hali ngumu imekuwa mwiba kwa kila Mtanzania
   
 14. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Jeykey kabla hujahoji alichofanya mnyika, wahoji waliokutuma wameifanyia nn ubungo maana h/wilaya ipo chini yao na huo ni wajibu wao pia!
   
 15. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  leta takwimu za kiutendaji za wabunge wa dar na upambanue udhaifu wa kila mmoja ili tuone udhaifu wa mnyika kuanza kulaumu tu, unadhani ujenzi wa daraja ni kama kupanga mawe ya kuvukia ng'ambo ya pili wakati wa mvua?
   
 16. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Hivi zile ahadi za JK zaidi ya 80 ipi imetekelezwa ukiacha ile ya bajaji?
   
 17. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wewe naona unapenda maigizo sana inabidi uwe unawahi the comedi! hahahahaaaaa Mnyika ni miongoni mwa Wabunge wachache ambao wanahapa kazi na kuwasiliana na wapiga kura wake kwa karibu sana. Ni wiki hii alipita nyumba kwa nyumba kuwashukuru wapiga kura achilie mbali taarifa za mawasiliano kwa njia ya mitandao anayotummia mara kwa mara. Napenda kukuondo hofu kuwa kama unadhani unaweza kumuangusha wajidanganya bureeeeee
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kuna siku kwa macho yangu nimeona Mkit wa serikali ya mtaa msewe, huko kulikovunjika daraja akiukimbia mkutano wa diwani (Boni) na wananchi, sembuse mbunge. Hawa wenyeviti wa serikali za mtaa ni wa kufuatiliwa kwa makini. na pale wanapolega waondolewe.:A S 103:
   
 19. A

  Alakara Armamasitai Verified User

  #19
  May 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  tumeshakustukia wewe na upumbavu wako mara lema anatafuta umaarufu kwenye mazishi? mara mnyika ajaifanyia kitu ubungo? halafu sijui ni kwamba umesoma lakini hujaelimika kwani wewe ni mtu wa kukurupuka na hoja yako mfu ungeleta takwimu ningekuona wamaana badala ya kurupuka na kuanza kumlau mnyika mbona kikwete ajaifanyia kitu tanzania? badala yake amebaki tu na porojo kuwa tumekuza uchumi. peleka ujinga na utoto wako huko usio na maana. kweli jamii forum imevamiwa? yaani baada ya ccm kutangaza kuwa jamii forum inafanya kazi hatarishi dhidi yake basi imeamua kuwatumia mijinga na mapumbavu kama wewe wasio rahisi kufikiria kwani umekuwa unaweka post zizokuwa na maana wala evidence ilimradi tu uonekane na wewe umepost daaaa kweli chama cha majambazi ni noma.
   
 20. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #20
  May 23, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mbona daraja analolisema limeshaanza kujengwa, nimepita hapo dakika chache zilizopita. Huyu jamaa kweli anakupuruka,anaongelea udogo na ukimya?
   
Loading...